Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

The Giantist

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2018
Posts
214
Reaction score
86
Na:
McWenceslaus
31/10/2020

Wapinzani sikieni,
Ujumbe mshikeni,
Iloletwa na wageni,
Ndicho chenu kishikeni.

Wambieni Mabeberu,
Na Robert Amstardamu,
Nchi yetu ipo huru,
na CCM ndio Nuru.

Magufuli 5 tena,
Ndio neno lilojema,
Tumaini lipo tena,
Kazi ndio wetu wema.

Haki uhuru na amani,
Ndizo njia zetu ngazi,
Umoja Upendo nchini,
Maendeleo ni yetu hadhi.

Vivaa vijana vivaaa,
Kwa ushindi wa Tanzania,
Kazi kwetu ndio njia,
Maendeleo kujiletea.

Sauti ya Mdodomia
31/10/2020
Dodoma.
 

Attachments

  • ElusJ8YXgAA-Xnd.jpeg
    ElusJ8YXgAA-Xnd.jpeg
    87.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom