- Thread starter
- #41
Anaitibu ZANZIBAR na majeshi yake ya Tanganyika na ya kukodi kutoka Burundi.
Kijana huyo amepigwa risasi ya jicho, anasubiri kupelekwa nje ya nchi kwa matibabuView attachment 1623249
Inasikitisha sana.
Atakayehusika kwa vyovyote katika kufahamiana kokote na azingatie haya kikamilifu:
"Kwa hakika hao wote hawakuumia wala kupotea bure. Wote hao ni muhimu kuwepo katika hadidu rejea za maridhiano."
Ikiwamo fidia stahiki, kuwajibishwa wote waliohusika na uchaguzi kurejelewa.