Hongera Dkt. Slaa, tumeuona ujasiri wako, asante kutushirikisha weledi na hekima yako

Mtu yeyote anaweza kuserma lolote dhidi ya Dr. Slaa, lakini nina hakika, hakuna mwenye akili na utimamu wa akili anayeweza kuhoji super intelligence ya Dr. Slaa, ukweli wa nafsi yake, ujasiri na katika kusimamia anachokiamini. Siyo mtu wa kuyumba katika anachokiamini kuwa ni sahihi au siyo sahihi.

Ni ukweli wa sifa hizi, ndio uliomfanya kuonfoka CHADEMA licha ya kuwa alikuwa ametumia muda wake mwingi kuijenga CHADEMA. Dr. Slaa aliamini kuwa Lowasa alikuwa fisadi. Alilisema hilo wazi. Na hata CHADEMA walipoamua kumpokea Lowasa, yeye aliendelea kusimama katika alichokiamini.

Leo, Dr. Slaa, baada ya uchafu uliofanywa na Serikali na bunge batili kuhusiana na kuzigawa Bandari zote za Tanganyika kwa Mwarabu, ametoa kauli iliyonyoka, iliyo dhahiri na isiyopepesa. Amesema wazi kuwa:

1) Mkataba wa bandari ni mkataba batili kwa sababu unakiuka katiba.

2) Mbarawa na wenzake, wameuza nchi.

3) Hofu za watanganyika kuwa wazanzibari wanauza rasilimali za Tanganyika, ni hofu za halali.

4) Mauzo ya bandari za Tanganyika yalianza tangu mwakajana kwa siri, na kuna mikataba mingi imekwishasainiwa kabla ya huu wa mwisho uliopelekwa bungeni.

5) Mkataba huu wa hovyo wa bandari, umepelekwa bungeni kwa sababu unahusisha kubadilisha sheria za nchi ili matakwa ya mwarabu yaweze kutekelezeka.

6) Mwenye haki na rasilimali za nchi ni wananchi. Rais ni msimamizi tu, siyo mwenye mali.

7) Serikali inataja tu vile vifungu vizuri vya mkataba, haivitaji vile vifungu vibaya vinavyohatarisha sovereignity ya nchi.

8) Mkataba hauna muda, ni wa kudumu. Huku ni kuuza nchi.

9) Katiba UAE hairuhusu Dubai kuingia mikataba ya kimataifa, lakini kwenye hili, Dubai ambayo ni mji tu imesaini mkataba na nchi.

10) Bunge ni batili kwa sababu mle ndani kuna wabunge 28, akiwemo Waziri Mkuu, ambao mahakama ilikwishatamka kuwa ni wabunge batili, ambao wanatakiwa kurudisha hata mishahara waliyokwishalipwa.

11) Raia yeyote ana haki ya kufungua kesi dhidi ya Bunge na Serikali kwa kukiuka katiba kuhusiana na huu mkataba unaokiuka katiba na sheria za nchi.

12) Maelezo ya Mbarawa, kama yeye Dr. Slaa angekuwa mwalimu wa sheria wa Mbarawa, angempa 0%.
Huyu mzee huwa namkubali kwa hoja anapoamua kusimamia ukweli.
 
Sifa nyingi umempa lakini humjui huyo tatizolake kubwa nimdini sana nimkatoliki magu ameharibu democrasia kwakuwa nimkatoliki mwenzake alikuwa akimsifu magu kakwapua pesazawatu wavuvi kuchkuliwa malizetu nakuchomewa kukwapuliwa pesa kibabe watu kutupwa kwenye viroba nakupotea kinasaanane tundulisu kipigwa risasi yote hayo sikumsikia akikemea wala kupaza sauti mbowe kusweka ndani majibu Mimi ninayo Dr slaa hataki kumuona MTU amekalia kiti tofauti na mkatoliki hivyo apuuzwe kabisa
 
Kwa.kifupi huu mkataba ni batili simlaumu rais wangu mpendwa bali nalaumu wasaidizi wake kwa kudanganya watz na wengine wana cheo cha proffesa dah
Kwann akubali kudanganywa...haya sawa tufanye hakujua, sasa atakuwa amegundua kwamba alidanganywa na hao wasaidizi wake now amechukua hatua gani??
Sa100 anaonekana yupo soft sana na wasaidizi wake washamjua hivyo wanapita mlemle..ni sawa na team yenye beki mbovu mashambulizi team pinzani lazima yaanzie upande huo hadi kieleweke!.
Na kwasasa pia kaja na staili nyingine mpya ya kuweka pamba masikioni asisikie kilio cha wananchi...staili hii atakuwa kapewa/kaiga toka kwa yule msanii wa Msoga...JK!!.
 
Mtu yeyote anaweza kuserma lolote dhidi ya Dr. Slaa, lakini nina hakika, hakuna mwenye akili na utimamu wa akili anayeweza kuhoji super intelligence ya Dr. Slaa, ukweli wa nafsi yake, ujasiri na katika kusimamia anachokiamini. Siyo mtu wa kuyumba katika anachokiamini kuwa ni sahihi au siyo sahihi.

Ni ukweli wa sifa hizi, ndio uliomfanya kuonfoka CHADEMA licha ya kuwa alikuwa ametumia muda wake mwingi kuijenga CHADEMA. Dr. Slaa aliamini kuwa Lowasa alikuwa fisadi. Alilisema hilo wazi. Na hata CHADEMA walipoamua kumpokea Lowasa, yeye aliendelea kusimama katika alichokiamini.

Leo, Dr. Slaa, baada ya uchafu uliofanywa na Serikali na bunge batili kuhusiana na kuzigawa Bandari zote za Tanganyika kwa Mwarabu, ametoa kauli iliyonyoka, iliyo dhahiri na isiyopepesa. Amesema wazi kuwa:

1) Mkataba wa bandari ni mkataba batili kwa sababu unakiuka katiba.

2) Mbarawa na wenzake, wameuza nchi.

3) Hofu za watanganyika kuwa wazanzibari wanauza rasilimali za Tanganyika, ni hofu za halali.

4) Mauzo ya bandari za Tanganyika yalianza tangu mwakajana kwa siri, na kuna mikataba mingi imekwishasainiwa kabla ya huu wa mwisho uliopelekwa bungeni.

5) Mkataba huu wa hovyo wa bandari, umepelekwa bungeni kwa sababu unahusisha kubadilisha sheria za nchi ili matakwa ya mwarabu yaweze kutekelezeka.

6) Mwenye haki na rasilimali za nchi ni wananchi. Rais ni msimamizi tu, siyo mwenye mali.

7) Serikali inataja tu vile vifungu vizuri vya mkataba, haivitaji vile vifungu vibaya vinavyohatarisha sovereignity ya nchi.

8) Mkataba hauna muda, ni wa kudumu. Huku ni kuuza nchi.

9) Katiba UAE hairuhusu Dubai kuingia mikataba ya kimataifa, lakini kwenye hili, Dubai ambayo ni mji tu imesaini mkataba na nchi.

10) Bunge ni batili kwa sababu mle ndani kuna wabunge 28, akiwemo Waziri Mkuu, ambao mahakama ilikwishatamka kuwa ni wabunge batili, ambao wanatakiwa kurudisha hata mishahara waliyokwishalipwa.

11) Raia yeyote ana haki ya kufungua kesi dhidi ya Bunge na Serikali kwa kukiuka katiba kuhusiana na huu mkataba unaokiuka katiba na sheria za nchi.

12) Maelezo ya Mbarawa, kama yeye Dr. Slaa angekuwa mwalimu wa sheria wa Mbarawa, angempa 0%.
Hongera kwake
 
9) Katiba UAE hairuhusu Dubai kuingia mikataba ya kimataifa, lakini kwenye hili, Dubai ambayo ni mji tu imesaini mkataba na nchi.
Hii kweli hata mimi layman wa sheria ilinitatiza, kwa kuwa sikuelewa ulinganisho wa Dubai na Tanzania.
 
Mkuu mpaka roho inauma sana aisee. Sijui tufanyeje sasa[emoji31]
Ingekuwa Kenya kwa jirani hapo wananchi wangeshakinukisha mitaani, lakini kwetu hapa dah hakika tumelogwa[emoji24]
TZ we wawekee tamasha,lazima watu watakuja,watajaa kukata mauno

Ova
 
Dr. Slaa nikiri amenifanya nisahau kwa muda ule mchezo aliotuchezea 2015, huyu mzee akiamua kujiwasha data anakuwa mtu mwingine kabisa, ana upeo mkubwa kifikra, anajua kupanga na kuzichambua hoja zake, pia namna ya kuziwasilisha, hamchoshi msikilizaji, yuko vizuri sana upstairs.

Vichwa vya namna hii ndivyo vinavyoleta ladha ya bunge, bahati mbaya viko mtaani, lakini tuishukuru pia Katiba mbovu iliyopo kuvipa nafasi ya kusikika live kutoka mtaani, pale ambapo vinatekeleza haki yao ya kutoa maoni, lile bunge la kina Msukuma likatupwe jalalani.
 
Kwa.kifupi huu mkataba ni batili simlaumu rais wangu mpendwa bali nalaumu wasaidizi wake kwa kudanganya watz na wengine wana cheo cha proffesa dah
Wewe kipofu mama yako mpendwa ndio ameshakupeleka utumwani Dubai, sasa wewe nenda utumwani huku unawalaumu wasaidizi wake, kama vile kile kichwa cha mamako kimejaa tope tu.
 
Mkuu mpaka roho inauma sana aisee. Sijui tufanyeje sasa[emoji31]
Ingekuwa Kenya kwa jirani hapo wananchi wangeshakinukisha mitaani, lakini kwetu hapa dah hakika tumelogwa[emoji24]
Samia ni wa kunyongwa tu, hafai yani hatufai kabisa.
 
Mtu yeyote anaweza kuserma lolote dhidi ya Dr. Slaa, lakini nina hakika, hakuna mwenye akili na utimamu wa akili anayeweza kuhoji super intelligence ya Dr. Slaa, ukweli wa nafsi yake, ujasiri na katika kusimamia anachokiamini. Siyo mtu wa kuyumba katika anachokiamini kuwa ni sahihi au siyo sahihi.

Ni ukweli wa sifa hizi, ndio uliomfanya kuonfoka CHADEMA licha ya kuwa alikuwa ametumia muda wake mwingi kuijenga CHADEMA. Dr. Slaa aliamini kuwa Lowasa alikuwa fisadi. Alilisema hilo wazi. Na hata CHADEMA walipoamua kumpokea Lowasa, yeye aliendelea kusimama katika alichokiamini.

Leo, Dr. Slaa, baada ya uchafu uliofanywa na Serikali na bunge batili kuhusiana na kuzigawa Bandari zote za Tanganyika kwa Mwarabu, ametoa kauli iliyonyoka, iliyo dhahiri na isiyopepesa. Amesema wazi kuwa:

1) Mkataba wa bandari ni mkataba batili kwa sababu unakiuka katiba.

2) Mbarawa na wenzake, wameuza nchi.

3) Hofu za watanganyika kuwa wazanzibari wanauza rasilimali za Tanganyika, ni hofu za halali.

4) Mauzo ya bandari za Tanganyika yalianza tangu mwakajana kwa siri, na kuna mikataba mingi imekwishasainiwa kabla ya huu wa mwisho uliopelekwa bungeni.

5) Mkataba huu wa hovyo wa bandari, umepelekwa bungeni kwa sababu unahusisha kubadilisha sheria za nchi ili matakwa ya mwarabu yaweze kutekelezeka.

6) Mwenye haki na rasilimali za nchi ni wananchi. Rais ni msimamizi tu, siyo mwenye mali.

7) Serikali inataja tu vile vifungu vizuri vya mkataba, haivitaji vile vifungu vibaya vinavyohatarisha sovereignity ya nchi.

8) Mkataba hauna muda, ni wa kudumu. Huku ni kuuza nchi.

9) Katiba UAE hairuhusu Dubai kuingia mikataba ya kimataifa, lakini kwenye hili, Dubai ambayo ni mji tu imesaini mkataba na nchi.

10) Bunge ni batili kwa sababu mle ndani kuna wabunge 28, akiwemo Waziri Mkuu, ambao mahakama ilikwishatamka kuwa ni wabunge batili, ambao wanatakiwa kurudisha hata mishahara waliyokwishalipwa.

11) Raia yeyote ana haki ya kufungua kesi dhidi ya Bunge na Serikali kwa kukiuka katiba kuhusiana na huu mkataba unaokiuka katiba na sheria za nchi.

12) Maelezo ya Mbarawa, kama yeye Dr. Slaa angekuwa mwalimu wa sheria wa Mbarawa, angempa 0%.
Mauzo ya bandari za Tanganyika yalianza tangu mwakajana kwa siri, na kuna mikataba mingi imekwishasainiwa kabla ya huu wa mwisho uliopelekwa bungeni.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba una ubatili gani? Tupe uthibitisho na ufafanuzi
Soma Ibara ya 5 na ya 23 kwa umakini, kama IGA unatoa "nafasi ya lini Tanzania inaweza kuendeleza na kuendesha Bandari zake yenyewe au kwa ubia na Wawekezaji wengine tofauti na DPW".
 
Hivyo vipengele vinasemaje?

Weka hivyo vipengele hapa nikupe elimu
 
we ni poyoyo tu katangulie kufungua kesi. mmejaa tu chuki na ubaguzi hakuna lingine. Mkataba ndio umeshapita sasa mkaamue la kufanya. Mbona kipindi cha Marehemu wenu mikataba ilikuwa haiendi hata bungeni? Nyau tu nyie hakuna mnaloweza kufanya
Ona hii umbwa nayo!
 
Huo ndio ukweli wenyewe.huyu kiroboto dawa yake ni kwenda kumshitaki mahakamani ili kuiokoa nchi yetu kwenye huu uhuni wa zaidi ya uhuni alioufanya chifu mangungo
 
Back
Top Bottom