Hongera Dkt. Slaa, tumeuona ujasiri wako, asante kutushirikisha weledi na hekima yako

Hongera Dkt. Slaa, tumeuona ujasiri wako, asante kutushirikisha weledi na hekima yako

Daàaà kumbe bunge ni batili ?wabunge 28 wote hao ni batili? Daaa kazi ipo
 
Kuna Zee ni nafki na linaudini...kwake Nkapa YESSSii Kiku NO!! Magu YESSii Sahundred NO!!! Awali tulilalamikia katiba mpya kustopishwa likaungana na Magu kutunyima Leo linaibuka kudai vituo katiba ingetusaidiaga kuviweka sawa... Si arudi ulaya
 
Back
Top Bottom