Ripoti ya CAG inajadiliwa lini?Tupe uthibitisho wa kutokuwa na msimamo kwake?
Ameoneshaje kuwa sio wa kumuamini? Kuna uthibitisho wa mtu kuaminiwa zaidi ya kura 172 alizopata kwenye uchaguzi wa IPU?
Msomi mzima anamsifia Kiongozi mbovu kwasababu ya njaa,ovyo kabisa!Vijana wa enzi za Mwalimu mpaka kufikia miaka ya 90 walikuwa na akili pamoja na kujiamini hasa, pia hakuwa na mambo ya kujipendekeza pendeleza.
Walikuwa wakiweka hoja mezani, unoona kabisa Taifa lina vijana ambao wana matumiz sahihi ya Elimu na Akili walliyo jaaliwa.
Vijana wa siku hizi wako tofauti sana sioni wakijadili hoja nzito nzito kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu.
Nashawishika kusema kuwa vijana wa zaman walikombolewa na elimu, lakini vijana wa sasa elimu ndio inazidi kuwafanya kuwa watumwa na hawajui nini cha kuifanyia Nchi yao.
Hapati,mimi ni mwenyeji wa Mbeya.Yule mtafutieni Jimbo la Mbeya Vijijini atatoboa au muligawe Jimbo la Mbeya Mjini.Nimekaa pale.
Sasa ivi haya mambo ya kusifia naona yamefika hadi kwa wananchi wa kawaida.Msomi mzima anamsifia Kiongozi mbovu kwasababu ya njaa,ovyo kabisa!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hapati kwa sababu gani? Chuki zako au?Hapati,mimi ni mwenyeji wa Mbeya.Yule mtafutieni Jimbo la Mbeya Vijijini atatoboa au muligawe Jimbo la Mbeya Mjini.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app