Hongera Dkt. Tulia. Sasa unatosha kuchukua kijiti 2030

Hongera Dkt. Tulia. Sasa unatosha kuchukua kijiti 2030

Vijana wa enzi za Mwalimu mpaka kufikia miaka ya 90 walikuwa na akili pamoja na kujiamini hasa, pia hakuwa na mambo ya kujipendekeza pendeleza.

Walikuwa wakiweka hoja mezani, unoona kabisa Taifa lina vijana ambao wana matumiz sahihi ya Elimu na Akili walliyo jaaliwa.

Vijana wa siku hizi wako tofauti sana sioni wakijadili hoja nzito nzito kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu.

Nashawishika kusema kuwa vijana wa zaman walikombolewa na elimu, lakini vijana wa sasa elimu ndio inazidi kuwafanya kuwa watumwa na hawajui nini cha kuifanyia Nchi yao.
Msomi mzima anamsifia Kiongozi mbovu kwasababu ya njaa,ovyo kabisa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke inatosha sasa.. 2030 turudi tu kwa wababa [emoji23].
 
Msomi mzima anamsifia Kiongozi mbovu kwasababu ya njaa,ovyo kabisa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Sasa ivi haya mambo ya kusifia naona yamefika hadi kwa wananchi wa kawaida.

Mtu anahojiwa na media, from no where, ananza kusifia, unabaki kujiuliza sasa huyu anasifia kwa mantiki ipi?

Tunasafari ndefu.
 
Back
Top Bottom