Hongera DP world kwa kutua Tanzania

Hongera DP world kwa kutua Tanzania

Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
WEWE ni mpumbavu sana, nani kapinga uwekezaji? Acheni upumbavu wenu, shenzi
 
Ukiwa mlamba sehemu ya haja kubwa. Aibu unakuwa huna.

Kwahiyo waje tu hata kama mkataba ni wa kishenzi ?!. Kwanini mnakosa akili za kujitegemea ?!.

Kwenye Gas na mafuta tuliaminishwa hivi hivi. Leo yoote ni mali ya wawekezaji na si ya taifa !!. WaTanganyika mbona tuna udgafu wa ubongo ?!. Hawa Dubai tunaowashobokea wamepata uhuru 1971, wakati Tanganyika ni 1961. Nani mjinga leo ?!
 
Barabara 8 alishajenga Magufuli kimara mwisho to kibaha so ni jambo linawezekana bila hata DP World.

Serikali ikisitisha kununua V6 LC300 za billion 500 kila mwaka tu inakamilisha hilo zoezi ndani ya miaka 8 ya raisi aliyepo madarakani.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

Naunga mkono hoja
 
Wanayoipinga DP World kuendesha bandari ni "mapapai" kwa Mujibu wa sheokh Rusanganya:

Hawa masheikh mara nyingi ndo huwa mabasha wa kuwanyoosha mashoga

Kama wanapinga ni mapapai,basi wanaounga mkono DP World ni viazi mbatata
 
Barabara 8 alishajenga Magufuli kimara mwisho to kibaha so ni jambo linawezekana bila hata DP World.

Serikali ikisitisha kununua V6 LC300 za billion 500 kila mwaka tu inakamilisha hilo zoezi ndani ya miaka 8 ya raisi aliyepo madarakani.
Na madeni yake haya utamlipia yeye? Tazama watu wake aliowaweka wanavyotuaibisha Kimataifa, Msikilize huyo Edward Igenge kuanzia 1:09:

acha kulia, fahamu kuwa kila jambo lina mwisho wake.
mwisho wa kuiba Bandarini umekwisha, wewe ni miongoni mwa wanufaika wa chochoro za bandari, pole sana, DPW ndio hiyo imeingia sasa kusafisha magumashi, wizi, rushwa na udanganyifu.
Mmmmh hebu fikicha macho usome kilichoandika. Aliyowaweka hao waliopo Bandarini si ndio wameuza Bandari. Hao hao waliyo weka hao wezi ndio wameuza Bandari. Hakuna mwingine. Sisi hata TICTS Walikuwa wezi tuliwakataa. Hebu fanya issue za uwezo wako.
 
Barabara 8 alishajenga Magufuli kimara mwisho to kibaha so ni jambo linawezekana bila hata DP World.

Serikali ikisitisha kununua V6 LC300 za billion 500 kila mwaka tu inakamilisha hilo zoezi ndani ya miaka 8 ya raisi aliyepo madarakani.
Pointi, Ila umempa miaka mingi sana, Usimlaghai kama Lukasi...mwambie tu miwili hivi na ushee.
 
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
viongozi wa ccm mkibadilisha na marekani baada ya mikaka 5 marekani itafulia,mtaomba misaada Tanzania majizi makubwa nyie kilakukicha nikutetea wizi.
 
Barabara 8 alishajenga Magufuli kimara mwisho to kibaha so ni jambo linawezekana bila hata DP World.

Serikali ikisitisha kununua V6 LC300 za billion 500 kila mwaka tu inakamilisha hilo zoezi ndani ya miaka 8 ya raisi aliyepo madarakani.
Kwako wewe 8 lane ya km 15 hiyo unaona ni issue kuubwa? Ujinga ni mzigo mkubwa sana 😁😁

Unadhani kujenga na Kuendesha kipi kigumu? Jifunze Kwa waliofanikiwa
 
Weka article ya gazeti linajulikana dunia kama nilivyoweka mimi. Usijiwekee link za kutengeza kijinga tu.

Unataka kukataa nini kuhusu kanisa kuwa limejaa viongozi mashoga na waharibu watoto? Unajuwa mpaka Umoja wa Mataifa imelipigia kelele? Jisomee:

Usinipangie,we tulia hapo kama unanyolewa
 
Wote wanaopinga ni watu wa upinzani?.
Sio kweli. Kuna wengine ni wanaCCM kabisa.
Subiri ,ili nikurudishie ufahamu ,maana inaonyesha wengi wengi huo ufahamu mmejitoa.
Kama wapo CCM sawa demokrasia inachukua mkondo wake ndani ya chama, ila kwenye kundi la mijusi na kenge wamo.

Tatizo wengi wenu humu hamjui siasa mpo mpo tu ,yaani kibendera bendera hivi.

Ninavyoielewa kuwa mwana siasa ni hivi :-
Ukiwa upinzani inatakiwa upinge kila kitu kinachofanywa na serikali iliyopo madarakani , kama serikali inasema ni rangi ya kijani wewe upinge kwa kusema ni rangi ya miti. Hakutakiwi kuunga mkono kama alivyo hitajia Mheshimiwa Rais kuwa wasifiwe pale wanapofanya vizuri ,upinzani wakifanya hivyo basi wajue hilo ni kosa kubwa.

Sina upako na wanaopinga mkataba wa bandari ,ila pale wanapotokwa na akili na kujifanya wanaipenda sana nchi hii kiasi ya kurusha matusi.

Tumesikia lugha za kuitana au kuwaita watu wana akili za matope tumemsikia Lisu sio siri,sasa itokee na raisi nae ajitoe akili aseme bora mwenye akili ya matope kuliko jana dume kuwa shoga ,hapo itakuwaje ? Azidi kusema viongozi wa upinzani wakiume hawana ndevu wala sharubu macho mlegezo . Ila Mheshimiwa Raisi hahitajii kujibizana na walevi. Au hamjaanguka kwenye ngazi mkavurugika miguu kisha mkasema mmevamiwa ?

DP World imeipenda Tz na imeona lipo soko litakalo wanufaisha wao na Nchi kwa ujumla ,subira huvuta kheri ,hayo ya mikataba ni mambo yanayozungumzika na kurekebishika kama kutakuwa na umuhimu wa kufanya hivyo,ila kwa sasa wacha wafunge mitambo na kazi kuendelea.

Viongozi wa upinzani vikoti endeleeni kula sadaka ,aafu naona siku hizi wote wametononoka na wametoka vishavu ,hela za chama hazionekani zinaenda wapi ,na ole wako uwe mwanachama halafu udai mahesabu.
Msinyooshee watu wengine wakati ,mmejaa madoa.

Tukubali tu hii ishu ya DP world ndio imetoka , huko mahakamani mtatoka na kusaga meno , Ushauri wa bure ni kupigania Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi ,msingoje kesho kupiga kura ndio mnaanza kubana pua kuita wananchi kwenye mikutano kuwadanganya ,tudai tume mpya tudai katiba mpya ,miaka minne na nusu mlikuwa wapi msiliamshe la Katiba mpya ?

Mbona la Bandari mmeliamsha in a very short period ? Katiba ,tume sifuri !!! Au ndio tuamini huko bandarini kumeziba mirija ?

Wacheni izo bana ,liamsheni la Katiba na Tume mpaka kijulikane hayo mengine yatafuata baadae.
Hivi haya mawili la katiba /tume huru ya uchaguzi na bandari lipi Mtz anatakiwa alipiganie ?
 
Waarabu sio wa kushangiliwa, wapo hapa Tanzania kila kona, wamefanya nini zaidi ya kuwanyanyasa Watanzani?
Unafikiri hao Makafir wakija watabadilisha kitu zaidi ya kuifadhili CCM kwenye Uchaguzi wa 2025?

Chagua kwa Umakini 2025

CCM must go! Wapumzike, wajitafakari na kujitathmini.
 
Usiondoe watu relini. Wanaopinga huu Mkataba ni Watanzania karibia wote. Mimi ni CCM na ninapinga huu Mkataba,
Njoo kwenye korido za maofisi za CCM uone, hakuna kutizamana usoni.
 
Barabara 8 alishajenga Magufuli kimara mwisho to kibaha so ni jambo linawezekana bila hata DP World.

Serikali ikisitisha kununua V6 LC300 za billion 500 kila mwaka tu inakamilisha hilo zoezi ndani ya miaka 8 ya raisi aliyepo madarakani.
Dah!!

Kumbe kila mwaka serikali inatumia 500 B kwa ajili ya V8?.

Kweli TRUMP HAKUKOSEA KUHUSU AFRICA.

AFRICA A SHIT HOLE..
 
Waarabu sio wa kushangiliwa, wapo hapa Tanzania kila kona, wamefanya nini zaidi ya kuwanyanyasa Watanzani?
Unafikiri hao Makafir wakija watabadilisha kitu zaidi ya kuifadhili CCM kwenye Uchaguzi wa 2025?

Chagua kwa Umakini 2025

CCM must go! Wapumzike, wajitafakari na kujitathmini.
Kwa hiyo kumbe shida yako ni uarabu? Na wapi hapa Tanzania watu wa Dubai wanawanyanyasa watanzania?

Kwa hiyo na Manchester City pale waarabu wanawanyanyasa waingereza?
 
Back
Top Bottom