Hongera DP world kwa kutua Tanzania

Hongera DP world kwa kutua Tanzania

Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
Safi kabisa. Songa mbele Tanzania, hakuna kurudi nyuma.
 
Hivi tumeshindwa kujenga hizo barabara sisi hadi tuwakabidhi wageni bandari zetu kwa muda usiojulikana?
 
Kwahiyo ni Bandari zote za Tanganyika?
 
Barabara 8 alishajenga Magufuli kimara mwisho to kibaha so ni jambo linawezekana bila hata DP World.

Serikali ikisitisha kununua V6 LC300 za billion 500 kila mwaka tu inakamilisha hilo zoezi ndani ya miaka 8 ya raisi aliyepo madarakani.
Sasa unatoa siri, Hivi nini kilimkuta Mheshimiwa Magufuli ? Hivyo tufuate wazenji wanaosema Hakuna kurudi nyuma ,nikimaanisha katika hili la Bandari hakuna kurudi nyuma.

Kifo cha Marehemu Magufuli kina utata ,aliziba mianya mingi sana na hakumuonea huruma mvivu ,mzembe , wazururaji na wababaishaji wa kisiasa,aliwapiga mkwala wote ,na waliufyata. leo mmefunguliwa na mnamvaa Mheshimiwa Raisi Samia hamna hata aibu tuseme hata ubinadamu mlionao ni ushuzi .

Marehemu Magufuli aliyaona mapembe yenu ya kishetwani akawapiga magufuli ,jina likasibu.

Ili kuepuka yaliomkuta swaiba bora tuende kwa mikataba ikiwa mibovu au mizuri huenda ikaepusha kusokotana.
 
Kwa hiyo kumbe shida yako ni uarabu?
Shida yangu ni Ukoloni mamboleo inayoletwa na uDini wa Uarabu
Na wapi hapa Tanzania watu wa Dubai wanawanyanyasa watanzania?
Waarabu hawajawahi, kama vile Wazungu kuacha kuwanyanyasa Waafrika, huo ni Uhalisia, wakija hapa au kubakia huko hakubadilishi Ukatili wao unaongozwa na Udini, Unyanyapaa, Ubaguzi....Watubwa Dubai ndio hawa hawa waliofukuzwa na Okello, baba wa Taifa wa Zanzibar, hivi wanatafuta njia za kurudi kinyemela
Kwa hiyo na Manchester City pale waarabu wanawanyanyasa waingereza?
Hayo ni yako, mamipira hayanihusu, hatahivyo hao waarabu ni watakashishaji tu wa pesa za hao Wazungu, hapa wakija utaona wanawakilishwa na Wazungu. Sasa Wazungu kwa kuwatumia Waarabu(mjomba) wamepata mwanya wa kuingia hapa.
 
Umejitoa akili makusudi, unajidai huoni vile terms za ule mkataba na wale waarabu zilivyo za hovyo kwetu, zimetugeuza watumwa ndani ya nchi yetu, suala hapa sio kupinga uwekezaji, waje kuwekeza lakini lazima pawepo na fairness kwa pande zote.
Kwa mazingira ya mkataba(wa kugushi),DP World walivyopaikana(bila tender) na nature ya Kampuni yenyewe(inatumia hongo sana),ni wazi hatutapata a good deal out of it,itafutwe Kampuni nyingine.Kwanza Wananchi already hawana imani na Kampuni yenyewe,kwa hiyo kinachohitajika hapa ni hekima na busara tu,kiburi cha serikali kinaigombanisha tu na wananchi na hivyo kuwa adui yao.Huko kuing'ang'ania DP World kwenyewe tu kunaashiria kwamba lipo jambo ambalo haliko sawa.Narudia hekima na busara vitumike,kama bado ipo,which I doubt .
 
Sasa unatoa siri, Hivi nini kilimkuta Mheshimiwa Magufuli ? Hivyo tufuate wazenji wanaosema Hakuna kurudi nyuma ,nikimaanisha katika hili la Bandari hakuna kurudi nyuma.

Kifo cha Marehemu Magufuli kina utata ,aliziba mianya mingi sana na hakumuonea huruma mvivu ,mzembe , wazururaji na wababaishaji wa kisiasa,aliwapiga mkwala wote ,na waliufyata. leo mmefunguliwa na mnamvaa Mheshimiwa Raisi Samia hamna hata aibu tuseme hata ubinadamu mlionao ni ushuzi .

Marehemu Magufuli aliyaona mapembe yenu ya kishetwani akawapiga magufuli ,jina likasibu.

Ili kuepuka yaliomkuta swaiba bora tuende kwa mikataba ikiwa mibovu au mizuri huenda ikaepusha kusokotana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwahio kumbe bora liende tu.
 
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
Nchi ina watu vilaza sana hii, alikwambia watu wakataa uwekezaji nani, watu wanapinga aina ya mikataba ya kishamba inayoingiwa,

Kwa akili ya kawaida tu unawezaje mkabidhi mwekezaji bandari zote,na bila ukomo wa mda, na bado umepewa masharti ya ajabu katika mali zako?

Alafu unashanga jitu lipo andika upuuzi jf kama huu, ili la bandari ngoma ndo imeanza yani mtajua hamjui
 
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .

Mliozea kila mnachfanya watu wanakaa kimya tu
 
acha kulia, fahamu kuwa kila jambo lina mwisho wake.
mwisho wa kuiba Bandarini umekwisha, wewe ni miongoni mwa wanufaika wa chochoro za bandari, pole sana, DPW ndio hiyo imeingia sasa kusafisha magumashi, wizi, rushwa na udanganyifu.
Kama serikali imeshindwa kupambana na wizi wa ndani(kama ndiyo lengo la kuuza bandari) je Kwa wizi wa watu wa nje itaweza(kama wanasema wamewekeza)?
 
Hao watakuwa ani "mapapai" kwa mujibu wa Sheikh Rusaganya. Tazama na isiskiize video clip post #20 juu hapo.
Kama ni kweli maneno hayo yametamkwa na huyo shekhe Mapapai, basi huyo shekhe atakuwa ana kinyesi kichwani badala ya ubongo. Muda wa kumsikiliza asiye na akili unautoa wapi?
 
Mimi sijaelewa hao wanaopinga si wanaopinga vifungu vilivyomo na si uwekezaji.Serikali ifanyie kazi vifungu hivyo , mwekezaji apewe bandari.Mbona vitu simple tu kwa serikali.
Hivyo vifungu vimewekwa kimkakati. Watu washakula rushwa lazima wasimamie walichokubaliana na mabwana zao.
 
Na madeni yake haya utamlipia yeye? Tazama watu wake aliowaweka wanavyotuaibisha Kimataifa, Msikilize huyo Edward Igenge kuanzia 1:09:

Haya yanatokea kipindi hiki na siyo kipindi cha Magufuli ,aliyemwambia aiwakilishe Tanzania huko ni Magufuli kwani?
 
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
Kama unafuatilia huu mjadala, utagundua Wananchi wengi hawapingi huu mkataba kwa sababu ya udini. Ila wanachotaka ni uwepo wa mkataba wenye manufaa kwa pande zote mbili.
 
DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.
Hata wangejenga barabara za juu kwa juu Dar to Dubai bado hiyo sio hoja. Tunachotaka kufahamu ni maslahi mapana ya nchi na sio kututegeshea mikataba isiyoeleweka ili wakitokea wenye uchungu na kuvunja hiyo mikataba, nchi ijikute inatakiwa kulipa mabilioni ya dola
 
Back
Top Bottom