Hongera DP world kwa kutua Tanzania


Congrats bruh, DPW waje tu nobody argues about that, main concern ya watanzania walio wengi ni few contents kwenye hiyo contract, hivi hivyo vipengele avionekani au wewe Mr. Pascal Ndege na wewe uvioni pia? C’mon dude!
Serikali wawaambie warekebishe then wapewe uwekezaji, everyone will be happy DPW and Tanzanians.
 
Barabara 8 alishajenga Magufuli kimara mwisho to kibaha so ni jambo linawezekana bila hata DP World.

Serikali ikisitisha kununua V6 LC300 za billion 500 kila mwaka tu inakamilisha hilo zoezi ndani ya miaka 8 ya raisi aliyepo madarakani.
Umesema vya ukweli kabisa kwani bila hao jamaa hatuwezi kusonga pekeyetu? Kupanga ni kuchaguwa na kujua kipaumbele chetu na kujipanga kwa tulichonacho.
 
Ukishakuwa na uwezo wa kumwambia mtu Hana akili au akili ndogo broh,unatakiwa udondoshe fact broh na wewe utaonekana kama huyo 😅😅
 
Kama ni kweli maneno hayo yametamkwa na huyo shekhe Mapapai, basi huyo shekhe atakuwa ana kinyesi kichwani badala ya ubongo. Muda wa kumsikiliza asiye na akili unautoa wapi?

Unakataa bila kumsikiliza, si umsikilize na ushahidi alioutowa?
 

Kwa Hiyo hivyo vitu serikali yako imeshndwa kufanya?Tatizo mnakusanya kodi mnanunua mashangingi na kuzifuja na familia zenu!hakika Mungu halali ipo siku
 
Dah ndio maana Mikichadema wapo front line kuonyesha vifungu havikufuatwa.
Chadema ludisheni hela ya kampuni ya Ubelgiji halaka sana ,yaani makelele yote huku mkikusanya vyombo vya mashee na mapasta na mwendo kasi wa ajabu ,kumbe tiyali mshachukuwa advance .
Aloo mambo yamebuma ukisikia kuhadaika na kiza ndio huku.

CDM sasa mtawambia nini wananchi ,ama kweli Mwenyezi Mungu hamfichi mnafiki ,nilihisi kwa matusi wanayotukana CDM ,itakuwa wana jambo lao.
 
acha kulia, fahamu kuwa kila jambo lina mwisho wake.
mwisho wa kuiba Bandarini umekwisha, wewe ni miongoni mwa wanufaika wa chochoro za bandari, pole sana, DPW ndio hiyo imeingia sasa kusafisha magumashi, wizi, rushwa na udanganyifu.
Kwani Sisi wenyewe hatuwezi kuiboresha Kwa kukopa na kuweka hata mngt ya kukodi kama wabongo hatuaminiani
 
Kwani Sisi wenyewe hatuwezi kuiboresha Kwa kukopa na kuweka hata mngt ya kukodi kama wabongo hatuaminiani
hatuna uwezo wa kiteknolojia wala uzoefu,
DPW wanao uwezo mkubwa wa kiteknolojia na uzoefu wa kutosha ndio maana wamewekeza kwenye nchi mbalimbali duniani ikiwemo Uiengereza, Korea n.k

sisi kama sisi hatuna uwezo huo hata kama tuking'ang'ana miaka 100 hatuwezi fika huko zaidi tutapalilia wizi, magumashi, chochoro za kupenyeza mizigo na rushwa, tukiwekeza myanya yote itazibwa na kudhibitiwa kisasa zaidi.

Tuipongeze Serikali yetu chini ya mpambanaji Mama Samia, hakika katuvusha na anaendelea kutuvusha na tutapaa kiuchumi
 
CHANGAMOTO YA UWEKEZAJI (UB INAFSISHAJI?) HUU NI MAUDHUI YALIYOMO KWENYE MKATABA/MAKUBALIANO YENYEWE. KUNA UKAKASI NA HARUFU YA RUSHWA.
WATANZANIA TUSIWE WANYONGE KIASI HICHO. BAHARI NA MAZIWA NA ARDHI NI MALI YETU MWENYEZI MUNGU ALITUNEEMU. TUSIWE NA HARAKA. TUJUE KTK KILA TUFANYALO TUZINGATIE KUWA MAISHA KTK NCHI HII HAYAISHII KWETU TU, WATOTO, WAJUKUU, VITUKUU, VILEMBWE, N.K. WANAKUJA NA HAWANA NCHI NYINGINE. NI TANZANIA TU. KUTAKA UTAJIRI NA MAISHA YA JUU KWA HARAKA HARAKA, ATI TUWE KAMA ULAYA NA MAREKANI KUTAKUJA KUTUTOKEA PUANI NA WATAKAOKUTANA NA JOTO LA JIWE NI HAO WATOTO, WAJUKUU, VITUKUU, VILEMBWE, N.K. SISI TUTAKUWA JEHANAMU TUKIADHIBIWA KWA DHAMBI HII.
 
Technology ina nunuliwa , uzoefu utaupataje kama hujibu. Fursa
 
Barabara 8 alishajenga Magufuli kimara mwisho to kibaha so ni jambo linawezekana bila hata DP World.

Serikali ikisitisha kununua V6 LC300 za billion 500 kila mwaka tu inakamilisha hilo zoezi ndani ya miaka 8 ya raisi aliyepo madarakani.
Huko wanaiba pesa za umma haswa
 
Hatari sn
 
Kwani kila anayepaza sauti yake kuhusu huo mkataba ni mpinzani? Kwahiyo wewe kila anayetetea raslimali za nchi yetu ni mpinzani? Tuna safari ndefu sana kufika huko twendako
 
Technology ina nunuliwa , uzoefu utaupataje kama hujibu. Fursa
kweli teknolojia inanunuliwa lakini sio kama unavyo nunua computers, teknolojia nyingine ni gharama kubwa ni sawa na bajeti ya miaka 20 ya nchi yetu,

kwa upande wa uzoefu, wafanyakazi wetu wa kitanzania watafundishwa na kujengewa uzoefu na hao wafanyakazi wa DPW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…