pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia.
Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani twitter ambapo unachotakiwa kufanya ni kumtag kwenye habari yoyote inayohusiana na ukatili wa kijinsia au ukatili dhidi ya watoto.. kinachonipa ujasiri wa kuandika haya ni ukimtag lazima Atokee kwenye reply ya kwanza na kuomba taarifa kamili ya tukio na mahali ilipotokea na pia ameweka namba za simu pia atakuunganisha na wizara ya sheria ambapo utapata msaada wa kisheria buree Mungu akulipe akuongezee..kodi zetu zinazotumika kama mshahara wako hauendi bure..