Wachukuliwe hatuaItoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake!
Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki
Nikadhani kwamba kwa katazo lililotolewa ni hatua au?Wachukuliwe hatua
Thread 'CCM: Wapinzani wakifa hatuwezi kulia tutawatupa Mtoni wawe chakula cha mamba' Pre GE2025 - CCM: Wapinzani wakifa hatuwezi kulia tutawatupa Mtoni wawe chakula cha mamba
Mi mwenyee nimemgei Dingilingii Maflagi ya kufa mtuu waseee!!!!Itoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake!
Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki
Hizo ni propaganda tu,kama wakweli walekebishe sheria za uchaguziItoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake!
Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki