Hongera Engineer kwa kujihusisha na usajili na kuleta wachezaji wazuri Jangwani!

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Kama shabiki wa simba, nakupongeza kwa kazi nzuri yakutafuta wachezaji wazuri bila kuingiliwa na kuwakata mikono wazee wa 10%... mwanzoni ulilalamikiwa sana na vyombo vya habari et kwanini unajihusisha na usajili... mjomba ulikuwa unampandia ndege mchazaji unapomwona anafaa bila kujiuliza..

Kwakweli ni aibu kwa timu yangu ya Simba kuona wachezaji hasa viungo na mabeki hawana uwezo ila wanaishi kwa sababu ya 10% ya baadhi ya viongozi.... Ni muda wa kutafuta beki mwingine wa kimataifa mbadala ya Onyango, huyo Sako anaruka ruka uwanjani tyuu, hebu angalieni majembe ya Yanga yanafurahisha kwenye game, mnatuletea wachezaji mizigo haswaa.... ukimtoa Inonga, Baleke, Phiri, Chama, na Ntibanzonkiza labda na kaputin wengine waliobaki wa kimataifa ni mizigo kwa Simba!

Nasema hivi mkiendelea na usajili wa hovyo hawa Yanga hamtawavua ubingwa ng'o, kwa staili hii anayotumia. Engineer ametutupa mbali sana kwani wachezaji wake ni wa viwango na chemistry ya uhakika....

Msijidangaye kumfunga yanga mechi ya dabi hata siku moja hakutaweza kukupa ubingwa wa ligi kuu wala kufika mbali kimataifa! bila kushinda mechi zote za ligi kuu au kutoa sare mechi zisizidi 3, hivyo kikosi kinatakiwa kiwe kipana, nasio kama wachezaji tulio nao!
(Chama aliwahi sema alipokuwa anaenda Bekane, Simba msajili wachezaji wazuri)
Nahisi Mo angekuwa anajua wachezaji, angekuwa anawatafuta mwenyewe but kwabahati mbaya amewaamini watu wasiaminika nawakata tonge tyuu, mchezaji wanarushiwa youtube nakucheck viclip then mnamchukua, yaani Sako alisajiliwa kwasababu ya chengazake za youtube huu ni upumbavu, nendeni mumtazame mchezaji kwa undani kama mlivyofanya kwa Phiri na Baleke na sio uhuni uhuni!
First time Yanga mnaweza kuingia nusu fainali na ikiwezekana ubingwa!

Hongera wanayanga, hongera Engineer!🐸
 
Unajua kuwa Simba imeingia robo fainali ya Club bingwa Afrika na wachezaji iliyo watumia ni haohao unao wadis?
Unajua Simba inashika nafasi ya pili kwenye NBC Premier League? Na wachezaji ni hao hao?
Ulitaka waibe makombe ndiyo kwako watakuwa wame prove kuwa ni timu mzuri?
 
SIMBA INAFELI SANA KWENYE USAJILI.

Inawacgezaji wengi MIZIGO.

1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Sadio Kanute.
4. Peter Banda.
5. Okra.
6. Sawadogo Ismail.

HAWA NI MZIGO MKUBWA SANA NDANI YA CLABU.
 
Imefeli vipi wakati ipo robo final
 
Kama shabiki wa simba, nakupongeza kwa kazi nzuri yakutafuta wachezaji wazuri bila kuingiliwa na kuwakata mikono wazee wa 10%... mwanzoni ulilalamikiwa sana na vyombo vya habari et kwanini unajihusisha na usajili... mjomba ulikuwa unampandia ndege mchazaji unapomwona anafaa bila kujiuliza..

Kwakweli ni aibu kwa timu yangu ya Simba kuona wachezaji hasa viungo na mabeki hawana uwezo ila wanaishi kwa sababu ya 10% ya baadhi ya viongozi.... Ni muda wa kutafuta beki mwingine wa kimataifa mbadala ya Onyango, huyo Sako anaruka ruka uwanjani tyuu, hebu angalieni majembe ya Yanga yanafurahisha kwenye game, mnatuletea wachezaji mizigo haswaa.... ukimtoa Inonga, Baleke, Phiri, Chama, na Ntibanzonkiza labda na kaputin wengine waliobaki wa kimataifa ni mizigo kwa Simba!

Nasema hivi mkiendelea na usajili wa hovyo hawa Yanga hamtawavua ubingwa ng'o, kwa staili hii anayotumia. Engineer ametutupa mbali sana kwani wachezaji wake ni wa viwango na chemistry ya uhakika....

Msijidangaye kumfunga yanga mechi ya dabi hata siku moja hakutaweza kukupa ubingwa wa ligi kuu wala kufika mbali kimataifa! bila kushinda mechi zote za ligi kuu au kutoa sare mechi zisizidi 3, hivyo kikosi kinatakiwa kiwe kipana, nasio kama wachezaji tulio nao!
(Chama aliwahi sema alipokuwa anaenda Bekane, Simba msajili wachezaji wazuri)
Nahisi Mo angekuwa anajua wachezaji, angekuwa anawatafuta mwenyewe but kwabahati mbaya amewaamini watu wasiaminika nawakata tonge tyuu, mchezaji wanarushiwa youtube nakucheck viclip then mnamchukua, yaani Sako alisajiliwa kwasababu ya chengazake za youtube huu ni upumbavu, nendeni mumtazame mchezaji kwa undani kama mlivyofanya kwa Phiri na Baleke na sio uhuni uhuni!
First time Yanga mnaweza kuingia nusu fainali na ikiwezekana ubingwa!

Hongera wanayanga, hongera Engineer!🐸
Wenye uwezo wangekuwa shirikisho?
 
Hongera wanayanga, hongera Engineer![emoji196]
Nimeishia kwenye neno tyu!Huu ni uchoko aargh!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Unajua kuwa Simba imeingia robo fainali ya Club bingwa Afrika na wachezaji iliyo watumia ni haohao unao wadis?
Unajua Simba inashika nafasi ya pili kwenye NBC Premier League? Na wachezaji ni hao hao?
Ulitaka waibe makombe ndiyo kwako watakuwa wame prove kuwa ni timu mzuri?
Vipers sio kipimo kwa Simba mzee
 
Back
Top Bottom