Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
- Thread starter
- #21
Bangi mbaya, Mbwa wewe 😄Nimeishia kwenye neno tyu!Huu ni uchoko aargh!
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi mbaya, Mbwa wewe 😄Nimeishia kwenye neno tyu!Huu ni uchoko aargh!
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mijitu hapo inakula salary without working ukimtoa huyo mukenya!SIMBA INAFELI SANA KWENYE USAJILI.
Inawacgezaji wengi MIZIGO.
1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Sadio Kanute.
4. Peter Banda.
5. Okra.
6. Sawadogo Ismail.
HAWA NI MZIGO MKUBWA SANA NDANI YA CLABU.
Lakini huko shirikisho wanaweza fanya maajabuWenye uwezo wangekuwa shirikisho?
Ndomana nimemkubali sana mr. eng..... Tofauti na Mo yeye kukaa ofisini hajuia chochote kuhusu wachezaji wazuri, hivyo lazima apigwe mizinga!Uzuri eng mwenyew analijua boli
Umejisahaulisha mara hii kwamba malengo na mafanikio yenu kimataifa msimu huu ilikuwa ni kutinga hatua ya mskundi? Akili mnaziwekaga wapi nyie?Ndiyo mafanikio yetu haya kila mwaka. Mbaya zaidi tukipewa hela kiduchu za kufikia hiyo hatua, na mwekezaji wetu naye anazitolea macho.
Kuna maajabu gn kwa luzaz? Hap pyramid unaoogopa kupangwa nao wanawaonea donge simba kwa hatua wanazofika kwenye kombe la wababe. Endelea kujipima na wabovu wenzio.Lakini huko shirikisho wanaweza fanya maajabu
Kwa hiyo katika michuano hiyo yote hadi kufikia hatua ya robo final mechi zote Simba imecheza na Vipers? Yaani point zake z9te Simba ilizipatia kwa vipers?Vipers sio kipimo kwa Simba mzee
Huko kuna maajabu gani Sasa?Lakini huko shirikisho wanaweza fanya maajabu