Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ngoja niutafuteBro, naomba umtag Half american kwenye ule uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niutafuteBro, naomba umtag Half american kwenye ule uzi
Sawa sawa broMida ya jioni jioni mtibeli ataleta bahasha 😹
Ntakupa kazi ya kupitisha bahasha kwa wapiga kura wote 🥰
najaribu kuangalia uwezekano wakuwapatia washindi namba moja na mbili walau chochote kitu hapaYeah 😊
Njoo Stone Town hapa 😋😋😋.Uko wapi sahivi....nije uuone 😊
Nakuja nakujaaaa ngoja kidogo nimalizie kusikiliza mnyama anavokandwa hapaNjoo Stone Town hapa 😋😋😋.
Mnyama sasa hivi amekuwa kilema, anachimbwa mikwara hadi na SunguraNakuja nakujaaaa ngoja kidogo nimalizie kusikiliza mnyama anavokandwa hapa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ma miss wa siku hizi wana vitambi
Mzee wa uko wapi 😂Evelyn Salt mbona hupokei simu yangu? Uko wapi ?
Wait.....pokea kwanza simu tuagane 😂Evelyn Salt Huu umiss wako isiwe sababu ya kuja kunitenda kumbuka tulipotoka..
Kura zangu zilishaandaliwa huko porini kama sisiemu yani 😂😂😂Duuuuh To yeye amefel wap,,???mbona kampen tumejitahid
Angeline Jolie &velonika avluv & may thayHabari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka 2024.
Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Wakati Wengine wakiwa Kiima yeye alikuwa kiarifu akitamatisha kiyama na hatma ya urembo.
Usukuma wake umesheheni, Wakati Wamakonde wakibeba chungu kichwani Wasukuma walikiweka Chini ha kiuno.
Wastani Kwa idadi kwèñye mizani ni nyama Kilo Mia. Tela la Scania mwendo adoado turboV4 kuubembeleza mzingo wa Eneo lilofungwa upande mmoja.
Hongera Sana Evelyn salt Kwa kuibuka mshindi katika shindano la JF la Watu wasiojulikana wanaopigia Mtu wasiyemjua na bado ukaibuka kidedea.
Evelyn Salt aliibuka mshindi Kwa Kupata Kura 30 akiwabwaga wenzake tisa huku Nyuma Yake akiwa anafuatiwa na To yeye aliyepata kura 27.
Kama utagundua Evelyn salt ni Msukuma huku To yeye ni Mnyakyusa. Correlation ya Siri iliyojitokeza ni kuwa wôte wanatoka kwèñye Makabila àmbayo Wanawake zao Wana shape.
Niwatakie Siku njema
Video call kabisa notoe chozi maana kuna mamaende humu yanajuankuhonga balaa.. alafu nanhistoria mbovu na mamiss hata irene uwoya wakati tinasoma green acres mambo yangu nae yalikuwa moto.. baada ya u'miss la haulaa.Wait.....pokea kwanza simu tuagane 😂
broo hongera kwakua miss jf bhana umejitahidiKura zangu zilishaandaliwa huko porini kama sisiemu yani 😂😂😂
Wapiga kura 200 ila nimeshinda kwa kura 328 🤣🤣🤣🤣
Hongera mom TUMEKUBALI YAISHEKura zangu zilishaandaliwa huko porini kama sisiemu yani 😂😂😂
Wapiga kura 200 ila nimeshinda kwa kura 328 🤣🤣🤣🤣
Heeee bro tenaaa acha utanbroo hongera kwakua miss jf bhana umejitahidi