Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hapa hatujapigwa kwel?Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hatujapigwa kwel?Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Ahsante bro....broo hongera kwakua miss jf bhana umejitahidi
Una nyota ya darajaVideo call kabisa notoe chozi maana kuna mamaende humu yanajuankuhonga balaa.. alafu nanhistoria mbovu na mamiss hata irene uwoya wakati tinasoma green acres mambo yangu nae yalikuwa moto.. baada ya u'miss la haulaa.
Mola atanisaidia isitokee kwako
njoo pm nina zawadi yakoAhsante bro....
wewe wakike au wakiume?Heeee bro tenaaa acha utan
Oyaweee vu@£# umenyo#?Ahsante bro....
Unataka kumpandisha ghorofani ?wewe wakike au wakiume?
Hajanyoa vu@£# bado utapita kwenye viwembe stiriwayawewe wakike au wakiume?
Umeshanyoa vu@£#?Una nyota ya daraja
toa sababu za kupingaNAPINGA MATOKEO
Afya ya akil ni TATIZO KUBWA ila jana waziri mkuu katu hakikishia kuna TUME MTATENGENEZEWA,,,Unataka kumpandisha ghorofani ?
Hapa hatujapigwa kwel?
Mabinti wa humu watamu sana kuwananiliii kwenye softwareJaribu uone😀😀
Angeline Jolie &velonika avluv & may thay
dogo unaangalia pilau sana
Duuuuh To yeye amefel wap,,???mbona kampen tumejitahid
Aiiiii ukwapiiiii wewe 🫦🫦Mabinti wa humu watamu sana kuwananiliii kwenye software
Uzi kama huu bila picha nisawa na kula ugari bila mbogaHabari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka 2024.
Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Wakati Wengine wakiwa Kiima yeye alikuwa kiarifu akitamatisha kiyama na hatma ya urembo.
Usukuma wake umesheheni, Wakati Wamakonde wakibeba chungu kichwani Wasukuma walikiweka Chini ha kiuno.
Wastani Kwa idadi kwèñye mizani ni nyama Kilo Mia. Tela la Scania mwendo adoado turboV4 kuubembeleza mzingo wa Eneo lilofungwa upande mmoja.
Hongera Sana Evelyn salt Kwa kuibuka mshindi katika shindano la JF la Watu wasiojulikana wanaopigia Mtu wasiyemjua na bado ukaibuka kidedea.
Evelyn Salt aliibuka mshindi Kwa Kupata Kura 30 akiwabwaga wenzake tisa huku Nyuma Yake akiwa anafuatiwa na To yeye aliyepata kura 27.
Kama utagundua Evelyn salt ni Msukuma huku To yeye ni Mnyakyusa. Correlation ya Siri iliyojitokeza ni kuwa wôte wanatoka kwèñye Makabila àmbayo Wanawake zao Wana shape.
Niwatakie Siku njema