kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 623
- 606
Njemba [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njemba [emoji23][emoji23][emoji23]
Aseeee uko wapi? Tuonaneeee nashindwa hata kukupigia simu sijajiunga 😁Huyu dada Evelyn Salt anaonekana kupitia maandishi yake hana mambo ya kiwaki,masikhara mengi straight to the point,mwaka 2025,2026,2027 wampe tena na tena
Munyu Evelyn Salt niko hapaAseeee uko wapi? Tuonaneeee nashindwa hata kukupigia simu sijajiunga 😁
Uchaguzi urudiwe nami nitashiriki.Habari Wakuu!
Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea.
Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu
Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke.
Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka 2024.
Naambiwa chumvi yake pekee ni tamu kuliko Ile ya uvinza ukiilamba itakutatiza.
Wakati Wengine wakiwa Kiima yeye alikuwa kiarifu akitamatisha kiyama na hatma ya urembo.
Usukuma wake umesheheni, Wakati Wamakonde wakibeba chungu kichwani Wasukuma walikiweka Chini ha kiuno.
Wastani Kwa idadi kwèñye mizani ni nyama Kilo Mia. Tela la Scania mwendo adoado turboV4 kuubembeleza mzingo wa Eneo lilofungwa upande mmoja.
Hongera Sana Evelyn salt Kwa kuibuka mshindi katika shindano la JF la Watu wasiojulikana wanaopigia Mtu wasiyemjua na bado ukaibuka kidedea.
Evelyn Salt aliibuka mshindi Kwa Kupata Kura 30 akiwabwaga wenzake tisa huku Nyuma Yake akiwa anafuatiwa na To yeye aliyepata kura 27.
Kama utagundua Evelyn salt ni Msukuma huku To yeye ni Mnyakyusa. Correlation ya Siri iliyojitokeza ni kuwa wôte wanatoka kwèñye Makabila àmbayo Wanawake zao Wana shape.
Niwatakie Siku njema
HahahahahaHii dunia hii, mimi siku zote najua huyu mwanachama ni dume lenzetu. Njemba fulani hivi 🧐
Hahahahaha
Ni manziKumbe ni bidada mmoja hivi poa.
Ana pigo za kigumu kinoma 🤣Ni manzi
Bro sikusikiii unakatika sana.....kata upige tenaaaBro bro Evelyn Salt pokea simu nipo kaunta hapa Kumalija nakunywa bill kwako Miss JF 😹😹😹
Hahaha....!Bro sikusikiii unakatika sana.....kata upige tenaaa
Dume la mbegu rijali la maanaHii dunia hii, mimi siku zote najua huyu mwanachama ni dume lenzetu. Njemba fulani hivi 🧐
Fanya kumiPM nimeimiss kuhongaAseeee uko wapi? Tuonaneeee nashindwa hata kukupigia simu sijajiunga 😁
Dah kweli majaribu ni mtaji, mtaji wangu unasoma milioni kumiFanya kumiPM nimeimiss kuhonga
mficha uchi hazai na mficha pochi hapatiDah kweli majaribu ni mtaji, mtaji wangu unasoma milioni kumi
😄😄Huo uchaguzi mbona wamejichanganya...
Evelyn Salt ni Broh....Tena senior Broh!!
WeeeeDah kweli majaribu ni mtaji, mtaji wangu unasoma milioni kumi
WalaaaahhhhWeeee
Bro nilipo network chenga ngoja nipande juu mti 😹😹Bro sikusikiii unakatika sana.....kata upige tenaaa