Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Model mwenye mvuto au bondia mwenye mivuto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe nani atakulipa mshahara?kama bure sawa inawezekana,ila ka fide jamani miaka ya 2000 kalikua kazuri bana dah,yaani full mvuto kishepu no 8 saafi bila mkwaruzo yaani ukikaona unashiba ghafla unashushia na maji basi,lakini sasa duuh,sijui wajamaa wamekaparamia kifujo fujo mpaka wamevuruga uumbaji wa mnyezi,yaani ni kama nyumba nzuuri iliyopitiwa na greda la halmashauri.kama ni gari hiyo ni ile TZ.Roselyn kama uko karibu na Fideline naomba mwambie haya ..sijawahi kupenda Make up zake
Kama ameamua kuwa model na lile umbo lake ni vyema akayajua mavazi yake ya kuvaa na kumuwakilisha yeye kwa lile umbo lake .
Ndo maana wengine unaweza kuwa unatangaza ..jeans fulani ,perfume,Kofia or anything
Si kila vazi linalokaa mwilini mengine yanakuwa kituko..
Naomba niombee ajira niwe angalau namfanyia make up ..
Ombi:-😛ainkiller:
Niwe namchagulia nguo zake .......
wanawake na maendelea tufanye kazi tusonge mbeleeeeee.
mh. Masanilo they say women always look good in black, nampenda Fideline Iranga coz ni mdada anayejiamini sana na anajikubali the way alivyo no matter what pipo say about her!! keep it up mamy.Hivi huwa hana nguo zaidi ya hizi nyeusi?
wewe nani atakulipa mshahara?kama bure sawa inawezekana,ila ka fide jamani miaka ya 2000 kalikua kazuri bana dah,yaani full mvuto kishepu no 8 saafi bila mkwaruzo yaani ukikaona unashiba ghafla unashushia na maji basi,lakini sasa duuh,sijui wajamaa wamekaparamia kifujo fujo mpaka wamevuruga uumbaji wa mnyezi,yaani ni kama nyumba nzuuri iliyopitiwa na greda la halmashauri.kama ni gari hiyo ni ile tz.
hahha hhahaha utani mwingine bwana....unazidi mpaka hauchekeshi tena!:rofl:
wewe nani atakulipa mshahara?kama bure sawa inawezekana,ila ka fide jamani miaka ya 2000 kalikua kazuri bana dah,yaani full mvuto kishepu no 8 saafi bila mkwaruzo yaani ukikaona unashiba ghafla unashushia na maji basi,lakini sasa duuh,sijui wajamaa wamekaparamia kifujo fujo mpaka wamevuruga uumbaji wa mnyezi,yaani ni kama nyumba nzuuri iliyopitiwa na greda la halmashauri.kama ni gari hiyo ni ile tz.
Roselyn kama uko karibu na Fideline naomba mwambie haya ..sijawahi kupenda Make up zake
Kama ameamua kuwa model na lile umbo lake ni vyema akayajua mavazi yake ya kuvaa na kumuwakilisha yeye kwa lile umbo lake .
Ndo maana wengine unaweza kuwa unatangaza ..jeans fulani ,perfume,Kofia or anything
Si kila vazi linalokaa mwilini mengine yanakuwa kituko..
Naomba niombee ajira niwe angalau namfanyia make up ..
Ombi:-😛ainkiller:
Niwe namchagulia nguo zake .......
wanawake na maendelea tufanye kazi tusonge mbeleeeeee.
kwa kunyakuwa tuzo ya modo mwenye mvuto!!!