sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO.
Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy.
King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na kuzaa mtoto kunaweza kumpunguzia ushawishi kwa Vijana.
"Watumiaji wakubwa wa muziki ni Vijana,sasa pale kijana huyu anapotangaza kuwa anaingia katika ndoa, ana asilimia kubwa za kupunguza 'fanbase',hapa katika Ujana ndipo kuna ushawishi mkubwa sana wa kutengeneza wafuasi,Msanii huyu anapoingia katika ndoa basi Vijana hawa wana uwezekano mkubwa wa kumuona kama sio mwenzao tena" Amesema King Mende
Je hii ndio sababu ya baadhi ya Wasanii kuogopa kuoa Au Kuolewa mapema.
Nini Maoni Yako juu ya hili?
Ni wazi Gerald Hando ni mmoja wa manguli wa habari hapa Tanzania. Very smart hayumbi kanyooka ndio maana majizo alipomletea mambo meusi akamuachia radio yake na kipindi kufa kabisa.
Sasa ametoa mtazamo wake wa kawaida alafu msanii anataka kumziba mdomo?
Hando kaisema serikali na hata walipomshambulia hajaomba radhi mwenye radio ndio alipiga magoti wewe nandy unajiliza bure Hando ni chuma kweli kweli usitafute huruma kupitia brand ya Wasafi. Tuwaache wanahabari watoe mitazamo yao wewe kama unataka kujibu toa wimbo.
Lakini tuzungumze ukweli nandy baada ya kuolewa mnaona nini kunaendelea wajameni?
Hando piga kazi watanzania tupo na wewe iwe jua iwe mvua.