Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nandy ame-react baada ya kusoma haya maelezo hapa chini yaliyopostiwa kwenye mtandao wa wasafi, na Nandy baada ya kupiga kelele ndiyo wakatuma video ambayo ukiitazama utaona kabisa chumvi imeongezwa na admin wa page ya wasafi.Umesikiliza alichoongea Hando, au umekrupuka tu na emotion ya bi mdada
Je hichi kikichoandikwa hapa ni ustaarabu kweli???
“nandy hawezi kumshawishi binti yangu” by Hando ( hii ni personal attack)
eti badhii ya wasanii wakiolewa wanapoteza ushawishi alafu mfano wanaandika Nandy 😂
Yani litangazaji malaya-malaya na ndevu zake linauliza leading question tena linaleta negative imaginations kuhusu msanii wa kike alafu admin wa chombo husika anaongezea na maneno yake binti kahoji ndiyo wakaweka video ambayo inapishana maneno mengi na maelezo ya admin wao alafu bado tena lawama anapewa nandy.