Hongera Hamisa kwa kumpendezesha Aunty Ezekiel

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Kupitia mobetostyle kwa Mara ya kwanza mbongo muvi aunty Ezekiel alipendeza sana kwa vazi La heshima alilovaa kwenye uzinduzi wa film yake inayoitwa MAMA ktk ukumbi wa Mlimani City, kwa kweli umejitahidi mnoo!



Aunty alipendeza haswaa akanoga,akaonogeka katika siku yake adhimu.

Hongera sana kwa kufungua kiwanda cha ushonaji(Tanzania ya viwanda)naona unapiga hatua kubwa sanaa kimaendeleo na nimeona pia umevalisha mamiss ifm 2018,ni jambo zuri wadada wa wadogo kama wewe ambao mko chini ya miaka 30 mkifanya jitihada za kimaendeleo kama hizo.



Hongera sana kwa wadada wa bongo movie pia kwa kuweza kuamua kujishughulisha na biashara tofauti tofauti na kusapotiana katika kazi zenu.

Nimekupenda bure we mdada na Mungu abariki kazi halali ya mikono yako!!
 
Hicho alichovaa kichwani kinaitwaje!?.. Na huwa vina range bei gani!?.
Kuna mtu nimfanyie surprize!... Sijawahi acha wapenda mkikivaa!.
 
hahaa ngoja nitulie ..nisije kutibuwa hali ya hewa...maana usikute na weza kumtag hapa kumbe hayupo kabisaaa...hata katika ile list ya hot 5 ya wale mashemeji zangu
Itume inbox niifanyie uhakiki kabla hujaipost CAG!.πŸ˜€
 
Wakati wenzake wanachakarika na maisha..
Yule mwingine anaechezesha makalio kwenye Swimming Pool bado akili zake zipo kaa bibi mvuta ugoro..
Kaamua kuufanya mwili wake rasmi kama kitega uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…