Hongera Hamisa kwa kumpendezesha Aunty Ezekiel

Hongera Hamisa kwa kumpendezesha Aunty Ezekiel

[emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] halafu Hamisa mambo yake kimyaaa!!!mnashtuka heee!kumbe hapo ndo nnapompendea ukiwa na mama raha sana!!msiri wako mama yako sio social media hata siku moja!!!
Ahhahahahahah misa kibokoo kaangusha tembo
 
Wanatamani wao ndio wangezaa na daimond ndio imetoka hiyoo
Enhee!tatizo Hamisa kuzaa na diamond hiloo ndo shida haswaa!!yaani wameumia utafikiri alioa au labda wamezalishwa wao ila wabongo tulivyo wabaya angezaa na mkongo man tungeshangilia balaaaa!

Yaani watanzania siye na ananyoosha dogo mpk anakeraa
 
Mbona mama Yake aliwahi kusema hivi karibuni kuwa mwanae ataolewa na Mzungu Kwa kuwa ni mzuri na anashingo nzuri!
Vipi tena Mara ndoto imeyeyuka!
[emoji14][emoji14]
Wanawake bana!
 
Huku akijua kabisa wakati ule Dai anaishi na Zari ,
Misa akakubali kuwa na uhusiano na Dai hadi kuzaa nae,
Akafanya anavyojua hatimae Zari kaondoka Kwa Dai!
Sasa anataka kuingia yeye akaishi na Dai!
Daah [emoji14][emoji14][emoji14]
Wanawake wengine wanaangushana wenyewe Kwa wenyewe !
Je yeye angefanyiwa hivyo angejisikiaje ?!
 
Let me declare my interest fist;
Mimi siko team Zari, wala Misa wala Wema!
I am not after any team!
Nilikuwa nawaza tu Kwa kuandika!
 
Huku akijua kabisa wakati ule Dai anaishi na Zari ,
Misa akakubali kuwa na uhusiano na Dai hadi kuzaa nae,
Akafanya anavyojua hatimae Zari kaondoka Kwa Dai!
Sasa anataka kuingia yeye akaishi na Dai!
Daah [emoji14][emoji14][emoji14]
Wanawake wengine wanaangushana wenyewe Kwa wenyewe !
Je yeye angefanyiwa hivyo angejisikiaje ?!
Zari alikuta hamisa na dai wana mahusiano ye ndio aliingilia
 
Huku akijua kabisa wakati ule Dai anaishi na Zari ,
Misa akakubali kuwa na uhusiano na Dai hadi kuzaa nae,
Akafanya anavyojua hatimae Zari kaondoka Kwa Dai!
Sasa anataka kuingia yeye akaishi na Dai!
Daah [emoji14][emoji14][emoji14]
Wanawake wengine wanaangushana wenyewe Kwa wenyewe !
Je yeye angefanyiwa hivyo angejisikiaje ?!
Mbona yeye aliibiwa baba mtoto wake wa kwanza na Lulu tena mtoto alikua mdogo sanaa

Maisha yanaendelea na bwana haibwi anatoka mwenyewe!!!
 
Eti mange kanichekesha daimondkamuacha hadi nyumbu kabaki anafutuka kama kiboko anatamani akumeze [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mange ni shidaaa!ila usiombe mgombane na Mange utatamani ugeuke upepoo!!!!upeperukie huko Pakistan maana looh!si kwa michambo ile!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kaongea Mange Leo kimyaaa!!!
 
Back
Top Bottom