Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani akiendela hivi ndani ya miaka 5 atakua palee!Wakati wenzake wanachakarika na maisha..
Yule mwingine anaechezesha makalio kwenye Swimming Pool bado akili zake zipo kaa bibi mvuta ugoro..
Kaamua kuufanya mwili wake rasmi kama kitega uchumi.
Gele!.. asante kwa jina!.Kinaitwa gele!hivi inategemea umefunga wapi,vipo kuanzia elf 20 mpk laki 2 n.k
Inawauma kweli hawa watu wa bi tukinao[emoji1] [emoji1] [emoji1] binamu hao waliopstiwa wametolewa hata barua etiii!!![emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji57]mtaumwa sana mwaka huu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji1] [emoji1]Gele!.. asante kwa jina!.
Mkuu me ishu za kuhate chakra ya mwanamume mwenzangu hata siziwezi wapotezeeni hao haters tu!. Wajuvi wanasemaga "Mwenda wazimu hapewi panga" msiwape kiki kubishana nao!..Inawauma kweli hawa watu wa bi tukinao[emoji1] [emoji1] [emoji1] binamu hao waliopstiwa wametolewa hata barua etiii!!![emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji57]mtaumwa sana mwaka huu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji1] [emoji1]
Poa
Apigwee khaaa shoga umesikia misa kanunuliwa nyumba na mondKimyaa watu wanaugua na kufwa balaa binamu!Mara wazushe kapigwaa basi tafranii
Mtoto huyu amesababisha bibi wa watu karudi zake kwenye nyumba ya urithi huko SA na meno yake yaliyozungushiwa senyenge.Misa mtoto mambo yake kimyaaaaaaa
Ongeza under 30 years with withHongera Mobeto, the mother of two.
Ghorofa bibie ndo linawachoma roho balaa!Apigwee khaaa shoga umesikia misa kanunuliwa nyumba na mond
Hehehehehehe wanaumia balaa ,zari haaamini macho yake,na badoo,Ghorofa bibie ndo linawachoma roho balaa!
Na ukienda pale dukani shoga angu mida ya saa moja mondi wamkuta wanaondoka wotee!haooo!!
Wao wanang'ang'abia kutangazwaa shutuuu!!!
Na duka linapiga kazi kale kadada kale nakaotea mambo mazuri mnoo baadae
Hahahahahaha hivi yale meno huwa anaweka ya nini kila akienda sehem anaweka senyenge[emoji23] ,misa noomaa kamtoa nduli dadaMtoto huyu amesababisha bibi wa watu karudi zake kwenye nyumba ya urithi huko SA na meno yake yaliyozungushiwa senyenge.
Twin wanakuja[emoji23][emoji23][emoji23]Yaap!yaap with two kids!!!
[emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] halafu Hamisa mambo yake kimyaaa!!!mnashtuka heee!kumbe hapo ndo nnapompendea ukiwa na mama raha sana!!msiri wako mama yako sio social media hata siku moja!!!Hehehehehehe wanaumia balaa ,zari haaamini macho yake,na badoo,