Hongera Hamisa kwa kumpendezesha Aunty Ezekiel

Hongera Hamisa kwa kumpendezesha Aunty Ezekiel

Hicho alichovaa kichwani kinaitwaje!?.. Na huwa vina range bei gani!?.
Kuna mtu nimfanyie surprize!... Sijawahi acha wapenda mkikivaa!.
Kinaitwa gele!hivi inategemea umefunga wapi,vipo kuanzia elf 20 mpk laki 2 n.k
 
Wakati wenzake wanachakarika na maisha..
Yule mwingine anaechezesha makalio kwenye Swimming Pool bado akili zake zipo kaa bibi mvuta ugoro..
Kaamua kuufanya mwili wake rasmi kama kitega uchumi.
Yaani akiendela hivi ndani ya miaka 5 atakua palee!
 
Akili za wanawake wa Tanzania hizi...

Ukimsogelea hapo unaona kama layer nne za mapodapoda...

Hasara kweli..

Cant you be nachural!!??
Power of make up!!!
 
Gele!.. asante kwa jina!.
Inawauma kweli hawa watu wa bi tukinao[emoji1] [emoji1] [emoji1] binamu hao waliopstiwa wametolewa hata barua etiii!!![emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji57]mtaumwa sana mwaka huu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji1] [emoji1]

Poa
 
Mkuu me ishu za kuhate chakra ya mwanamume mwenzangu hata siziwezi wapotezeeni hao haters tu!. Wajuvi wanasemaga "Mwenda wazimu hapewi panga" msiwape kiki kubishana nao!..
 
Apigwee khaaa shoga umesikia misa kanunuliwa nyumba na mond
Ghorofa bibie ndo linawachoma roho balaa!

Na ukienda pale dukani shoga angu mida ya saa moja mondi wamkuta wanaondoka wotee!haooo!!

Wao wanang'ang'abia kutangazwaa shutuuu!!!

Na duka linapiga kazi kale kadada kale nakaotea mambo mazuri mnoo baadae
 
Hehehehehehe wanaumia balaa ,zari haaamini macho yake,na badoo,
 
Hehehehehehe wanaumia balaa ,zari haaamini macho yake,na badoo,
[emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] halafu Hamisa mambo yake kimyaaa!!!mnashtuka heee!kumbe hapo ndo nnapompendea ukiwa na mama raha sana!!msiri wako mama yako sio social media hata siku moja!!!
 
Back
Top Bottom