Hongera Hamisa kwa kumpendezesha Aunty Ezekiel

Akili za wanawake wa Tanzania hizi...

Ukimsogelea hapo unaona kama layer nne za mapodapoda...

Hasara kweli..

Cant you be nachural!!??

Jamani nyumbani natural hata kwenye event twende midomo mikavu na sura inang’aa vaseline mwanamke urembo mara moja moja unajipodoa haswa
 
Jamani nyumbani natural hata kwenye event twende midomo mikavu na sura inang’aa vaseline mwanamke urembo mara moja moja unajipodoa haswa
Mngejua kwamba hampendezi na huwa mnakera... Mngeacha haraka.

Fanyeni hivyo kwa matumizi ya InstA tu.

Mnakuwa vituko live...hamjui tu.
 
Mngejua kwamba hampendezi na huwa mnakera... Mngeacha haraka.

Fanyeni hivyo kwa matumizi ya InstA tu.

Mnakuwa vituko live...hamjui tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…