Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

Wakijenga vijana wa CHADEMA wapambanaji.....
Wakijenga CCM wezi.
Msanii akiwa CCM amenunulika akiwa CHADEMA ni smart.

Tunaweza kuwa wapinzani bila kubeza personalities na maisha binafsi ya wengine.
Si kweli kwamba CCM wotte ni wajinga na CHADEMA wote ni werevu.

Kwenye michezo wanasema ili ushinde, mheshimu mpinzani wako !!!
 
Jumba hili hapa ila kumbuka huyu bon yai alishapata kuwa mayor na diwani so as a. Moyar anakuwa na madili makubwa mno

Hvyo yai pekee halitoshi kukupa ghorofa Kama Hilo bill back up ya maana nyuma yake

IMG_20240310_205955.jpg
 
Wakijenga vijana wa CHADEMA wapambanaji.....
Wakijenga CCM wezi.
Msanii akiwa CCM amenunulika akiwa CHADEMA ni smart.

Tunaweza kuwa wapinzani bila kubeza personalities na maisha binafsi ya wengine.
Si kweli kwamba CCM wotte ni wajinga na CHADEMA wote ni werevu.

Kwenye michezo wanasema ili ushinde, mheshimu mpinzani wako !!!
CCM ni wezi , kwanini tunapinga ukweli.
 
Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi.

Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi

Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya business yake kwa moyo mmoja na akitoa ajira kwa watanzania wengi. Leo hii anasherekea mafanikio yakujituma kwake.

Wakati Bon Yai akiendelea kushamiri kiuchumi bila kuiba cha mtu , Kitila Mkumbo anazidi kutegemea salary na posho kuendesha maisha yake. Kitila Mkumbo hana ajira anayotoa kwa Watanzania badala yake anaweza akazima ndoto za Watanzania wengi akifeli kuweka mipango mizuri ya kiuchumi.

Bony Yai anatarajiwa kuchukua Ubunge wa Ubunge mwakani akiwa anajiweza kiuchumi na siyo tegemezi. Hii ni wake-up call kwa vijana wengi kujikita katika kujitegemea kuepukana na uchawa.

Kama ambavyo Bony amefanya , namwona kijana mwingine Ally Hapi akifuata nyayo za wajasiriamali na kuungana wakulima

Aina hii ya viongozi wanaweza wakatafakari sawasawa tofauti na wale wanaotegemea kulishwa na kupachikwa kwenye miradi ya ufisadi.

Bony Yai hii nyumba yako inapaswa kuwekwa kwenye makumbusho ya Taifa kama Ishara ya kuwakumbusha CCM kuwa kuiba kura siyo mwisho wa maisha, ni mwanzo wa harakati mpya.......big up Savimbi
Bila tupicha picha wewe ni nzushi🤔
 
Kwani Ally Hapi ni Chadema? Uzi huu nimeleta hapa kuonyesha watu wanavyoweza kuishi nje ya siasa. Lakini pia kuwakumbusha vijana wasiotaka kujiajiri na kufanya kazi wakisubiri uteuzi na uchawa kwamba life haiendi vivyo.....Boni Yai hakuna Mradi amewahi kusimamia akiwa Diwani na Meya uliokuwa na dili.....huyu hana pesa chafu la sivyo JPM angaeruka naye kwa uhujumu uchumi

Haya maisha ya Boni yanawafanya wanasiasa wa aina yake wasiogope kiumbe ndani ya chama wala nje ya chama. Boni ni vigumu kuwa CHAWA wa Mbowe......

Ally Hapi alikuwa CHAWA lakini alipotumbuliwa tu akili ikamtuma ajiweke busy now days waliodhani atapotea wanaona wivu japo yeye kosa lake ana mapato ya wizi na mapato halali.....ana damu za watu aliowatesa akiwa kiongozi hivyo kila akikaa nafsi za watu zinalia juu yake.

Vijana tujisimamie maisha siyo magumu kivile......uchawa unakuondolea utu

Back
Top Bottom