Theironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 336
- 903
CCM ni wezi , kwanini tunapinga ukweli.Wakijenga vijana wa CHADEMA wapambanaji.....
Wakijenga CCM wezi.
Msanii akiwa CCM amenunulika akiwa CHADEMA ni smart.
Tunaweza kuwa wapinzani bila kubeza personalities na maisha binafsi ya wengine.
Si kweli kwamba CCM wotte ni wajinga na CHADEMA wote ni werevu.
Kwenye michezo wanasema ili ushinde, mheshimu mpinzani wako !!!
Jumba hilooPicha ndio umegoma kuweka unatuonaje yaan bonge la title content Sifuri sababu picha Hola video Hola unatuonaje Sisi watazamaji wa hii Post?
HiloWhere is the goddamn picture punk?
Yes CCM wote ni wajinga na wezi.CCM ni wezi , kwanini tunapinga ukweli.
HiloKamanda, hilo Kasri liko wapi sasa! Au tukihoji mtatuambia sisi ni ccm?
Duuh kweli jumba mayai matupu 🔥🔥🔥🔥🔥Jumba hili hapa ila kumbuka huyu bon yai alishapata kuwa mayor na diwani so as a. Moyar anakuwa na madili makubwa mno
Hvyo yai pekee halitoshi kukupa ghorofa Kama Hilo bill back up ya maana nyuma yake
View attachment 2930656
Mboni ya kawaida yaan ndio Mnaita Kasri mmewahi kuyaona makasri nyinyi au ni ushamba?Jumba hiloo View attachment 2930658
Bila tupicha picha wewe ni nzushi🤔Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi.
Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi
Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya business yake kwa moyo mmoja na akitoa ajira kwa watanzania wengi. Leo hii anasherekea mafanikio yakujituma kwake.
Wakati Bon Yai akiendelea kushamiri kiuchumi bila kuiba cha mtu , Kitila Mkumbo anazidi kutegemea salary na posho kuendesha maisha yake. Kitila Mkumbo hana ajira anayotoa kwa Watanzania badala yake anaweza akazima ndoto za Watanzania wengi akifeli kuweka mipango mizuri ya kiuchumi.
Bony Yai anatarajiwa kuchukua Ubunge wa Ubunge mwakani akiwa anajiweza kiuchumi na siyo tegemezi. Hii ni wake-up call kwa vijana wengi kujikita katika kujitegemea kuepukana na uchawa.
Kama ambavyo Bony amefanya , namwona kijana mwingine Ally Hapi akifuata nyayo za wajasiriamali na kuungana wakulima
Aina hii ya viongozi wanaweza wakatafakari sawasawa tofauti na wale wanaotegemea kulishwa na kupachikwa kwenye miradi ya ufisadi.
Bony Yai hii nyumba yako inapaswa kuwekwa kwenye makumbusho ya Taifa kama Ishara ya kuwakumbusha CCM kuwa kuiba kura siyo mwisho wa maisha, ni mwanzo wa harakati mpya.......big up Savimbi
Una undugu na savinbi ndugu Erythrocyte ?Mkuu tunakushukuru , nitakuomba siku moja uje Tandika Mwembeyanga uone maajabu , Chadema ni kama ufunguo wa akili
Angalia juu hapoPicha
Angalia juu hapoBila tupicha picha wewe ni nzushi🤔
Wakijenga vijana wa CHADEMA wapambanaji.....
Wakijenga CCM wezi.
Msanii akiwa CCM amenunulika akiwa CHADEMA ni smart.
Tunaweza kuwa wapinzani bila kubeza personalities na maisha binafsi ya wengine.
Si kweli kwamba CCM wotte ni wajinga na CHADEMA wote ni werevu.
Kwenye michezo wanasema ili ushinde, mheshimu mpinzani wako !!!