Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

Nampongeza kwa kutumia vizuri pesa zake alizopata kwa madili ya umeya. Hayo mayai ni ya kuzugia tu. Kwenye ubunge hawezi pata kwasababu hana sifa ya kuitwa mwanasiasa. Pia hana ushawishi. Huyo Boniface, Malisa GJ na Yericko waendelee tu kuwa wanaharakati ila siasa za majukwaani hawaziwezi.
 
Hilo jumba liko wapi?
 
HIvi mnakwama wapi kuambatanisha habari na picha?

Ninaona wenye sonona wakisifia immaginary house bila kujua unawaingiza chaka
 


Yes,
ni vuzuri kua na stori za kupeana moyo, kufurahishana na kufarijiana kama hivi,
inasaidia sana kupata ahueni kidogo na nguvu ya kusonga mbele,
lakini bado naona bado kuna ka wivu kanachungulia 😜

sasa kama umefanikiwa kufanya jambo fulani zuri, ya nini kubeza ya wengine 🐒

si uongeze bidii zaidi, ili ufanikiwe zaidi, kuchungulia ya wengine ni ishara ya kutokua na furaha na mafanikio yako au ya rafiki yako na kuwa na gubu na ya wengine 🐒
 
Kila mtu atumie vyema kiwango cha ubongo alichopewa kujenga hoja; umetenda haki kwa ubongo wako
 
Jacob hajasubiri Katiba mpya wala Tume huru ya uchaguzi kuboresha maisha yake

Jacob hakusbiri CCM itoke madarakani kuimarisha uchumi wake

Vijana muigeni Jacob
Ukiendelea kuandika utafika mbali japo huko mbali utaishia kuwa mchawi
 
Chawa bhana.

Ungemsifia tu jamaa yako bila kukandia wengine kwa vile pengine harakati zao hawaweki tu mitandaoni hivyo huzijui.

Kabla ya umeya huyo jamaa alikuwa na nini?
Wewe mwenyewe unadhani kabla ya Umeya Bon alikuwaje ? Ukizingatia kwamba kabla ya Umeya alikuwa Diwani
 
Yaan mtu Kawa meya miaka 5 iliyopita kajenga kabanda huko mnamsifia

Alikua meya na walikua wanapiga sana tu masafari feki ya kibwege aliishia kunyanyua vyuma tu kama kibogo

Haha Bon now anaitafuta 40 ndio mnawaita anaakili wakati nikifika umri huo nitakua na nyumba 30

Aisee nimegundua mashabiki wake wapo hoi kajumba ka vyumba 3 hapo msakuzi Kuna maajabu gan
 
Shut up wewe kapuku !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…