Pre GE2025 Hongera January Makamba, Waziri mwenye weledi mkubwa sana kuzungumza na kuongea lugha ya Kiingereza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Laana alianza kuichuma kule kwao alipolazimisha kupita bila kupingwa ilhali wapinzani walifanyiwa figisu.
Hakuishia hapo. Kuna kipindi alimwambia Samia kwamba anahitaji trilioni tatu ku revive TANESCO. Samia alimshangaa na kumuuliza, trilioni unaijua?
Sasa hivi amekuja na mpango wa kitoto ambao sijawahi kuona hapa duniani. Eti akajenge magorofa yakupangisha nje ya nchi. As if Arusha, TANGA, Dar ,Dodoma na Bumbuli kumejitosheleza nyumba za kupanga.
Bumbuli hakuna gorofa ukiondoa Yale ya hospitali ya mkoloni, halafu MTU anataka akajenge Kinshasa. Guys, there is something very wrong here. Hivi anatuonaje sisi watanzania ambao tuli fanya mtihani wa fomfoo na kuupasua bila nyenzo?
 
Sawa kizungu anakijua, vp utendaji kazi wake...matunda gani aliyokwishafanikisha ambayo ni alama mpaka kufikia sasa hv?!.
Na kama kizungu ni kigezo cha uongozi bora(kwa vigezo vyako) basi mawaziri zaidi ya 50% wasingekuwa hapo walipo leo...Jiwe mwenyewe wala asingekuwa Rais!
 
He...wewe unataka utukanwe tu pamoja na huyo Marope wako.
 
Vibaraka lazima wawe vizuri kwenye njia za mabwana zao......house niggas
 
Makamba asidhani watu hawajui Mambo yake?
Watu wanajua hata Yale very private, Ni kumheshimu tu. Sasa na yeye aheshimu watanzania.
 
Kwa hiyo kwako wewe uzalendo wa Kitanzania ni kuongea kingereza? Viroba vimeshapigwa marufuku kitambo sana mwenzetu wewe ulikuwa na stock kubwa sana unafyonza tu halafu unakuja kuharishia humu.
 
Alikuwa anamshinda Magu kwa kuongea kiingereza?
 
Siyo kweli hana hiyo laana labda wewe
 
Tz kupinga ushoga ni kazi sana...
Kwa akili hizi, huyu ashindwi kuwa shoga
 
Hayo uloandika unaushahidi?
 
Soma vema bandiko langu kisha ndiyo uchangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…