joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tanzania Air force is crap compared to KAF...trust me..usijiaibishe kaka
you would rather start your usual Westgate mall stories and Alshabab propaganda..
But kwa hewa, we have numbers, experience and better mastery.
Look at this and if you are honest and a smart analyst, which one looks like it could beat the other like burukenge??Hahahaha, Hahahaha, baada ya kushindwa lazima utafute sababu ya kujipa matumaini ili upate usingizi. Tusisikie tena mnalinganisha TPDF na ujinga wa KDF.
Weka link inayoonyesha source na tarehe ya lini hiyo ripoti imeandikwa, acha kuweka vikaratasi vya ajabu.Look at this and if you are honest and a smart analyst, which one looks like it could beat the other like burukenge??
KENYA AIRFORCE
View attachment 1243744
View attachment 1243743
Tunaomba link ulikochukua hii screenshot. Hahahaha.
Unajaribu kuficha ili tusijue ukweli sio?. Hii taarifa ni " very old", F-5 fighter jets zimebaki 5 pekee. Pia tunataka kujua hizi ndege ni toleo la mwaka gani, karibu zote ni very old, na nyingi ziko grounded.
Umeona hiyo link niliyokupa kuhusu Tanzania Air force, imezunfumza kila kitu, lete link sio screen shot, Hahahaha, hahahaha.
ha ha ha... kwa sasa najua KDF wako na light attack MD500 variants kama 530F etc, over 50 in service.. mostly in the 50th Air Calvary (unajua hicho ni nini?? 😀)..Weka link inayoonyesha source na tarehe ya lini hiyo ripoti imeandikwa, acha kuweka vikaratasi vya ajabu.
Soma hiyo link niliyokupa uone details za kila ndege tulizonunua, mwaka tulionunua, kama tulinunua mpya au used, ngapi zilipata ajali na ni ngapi hadi sasa zipo "in service". Wewe unaleta makaratasi ya mwaka 1970, kubali hamna jeshi la kujilibganisha na TZ
Hahahaha, Hahahaha. Comedy...Tutaelewana tu.
I told you Kenya is seven times stronger than Tanzania on air [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1243761View attachment 1243762View attachment 1243763
leta video hata moja ya jet ya TZ ikiruka tu hewani ? ama attack helicopter..uwache ukiritimba ..Hahahaha, Hahahaha. Comedy...
OK, hii maana yake huna link yoyote zaidi ya kichwa chako. Kuanzia Leo usijaribu kulinganisha KDF yenye ndege 5, tena za kizamani sana, na African Aerospace - The rise and rise of Tanzania's Air Forceha ha ha... kwa sasa najua KDF wako na light attack MD500 variants kama 530F etc, over 50 in service.. mostly in the 50th Air Calvary (unajua hicho ni nini?? 😀)..
most of KDF equipment listed is in working condition.. Tanzania hata fly by sijawahi ona moja... that is one way of knowing your shit is not working or in - storage for lack of funds hence poor training opportunities..
Picha tu nikuonyesha eti special forces wakipiga matofali kwenye maonyesho..Watanzania huona tu hizi vitu kwa TV, I'll advice to just cross the border and enter Somalia, mtaziona live[emoji23]View attachment 1243766View attachment 1243767
Ulikuwa unataka link na ndiyo nishakuletea[emoji23][emoji23]. On land Kenya is ten times better than TanzaniaHahahaha, Hahahaha. Comedy...
Ndio maana huwa naita army yao eti poor army.Picha tu nikuonyesha eti special forces wakipiga matofali kwenye maonyesho..
ha ha ha mediocre
Na kule garissa wanakoingia hadi ndani ya ardhi ya mnawashindwia nini,hlf upande wa baharini muweze kuwadhibiti hadi mozambique,au chang'aa ya kibera ndio inavyokutuma ujimwabify kibwege namna hiiIngekua si Kenya Navy wale Pirates wa Somalia wangekua wanatawala hadi Mozambique sahii
Ungejua uwezo wa hizi meli 2 zilizonunuliwa toka china wala usingeweka huu uchafu wako hapaView attachment 1239913
Strait of gilbrata spain
Siku mkinunua hata "wing" moja ya F-15 huo ndio utakuwa mwisho wa Mimi kuwa hapa JF
For your information ukanda huu hakuna nchi nyingine yenye coastal defense radar na missiles isipokuwa Kenya .just do a simple Google search of (Ottomat MkI )Ungejua uwezo wa hizi meli 2 zilizonunuliwa toka china wala usingeweka huu uchafu wako hapa
Nyie watu mnapenda sana sifa, yaani unajisia hata Ujinga, crap Kunya boy.Remember Kenya is the only country that defeated Al Shaabab. This same Al Shaabab defeated USA in 2001 in what is famously known as BLACK DAWN HAWK.
Ninyi mlinunua meli za kizamani sana toka Spain, hazina digital radar wala hazina uwezo wa kugundua ndege zinazokuja umbali wa zaidi ya 20Km away. Usilinganishe meli zenu za kizamani na hizi meli zetu mpya na kubwa. Kenya Navy Air force mko very weak, with very old Equipments, huo ndio ukweli japo mnajaribu kuutakataaFor your information ukanda huu hakuna nchi nyingine yenye coastal defense radar na missiles isipokuwa Kenya .just do a simple Google search of (Ottomat MkI )