Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hahahaha, Hahahaha, baada ya kushindwa lazima utafute sababu ya kujipa matumaini ili upate usingizi. Tusisikie tena mnalinganisha TPDF na ujinga wa KDF.
Look at this and if you are honest and a smart analyst, which one looks like it could beat the other like burukenge??

KENYA AIRFORCE

1571950583393.png

1571950481206.png
 
Look at this and if you are honest and a smart analyst, which one looks like it could beat the other like burukenge??

KENYA AIRFORCE

View attachment 1243744

View attachment 1243743
Weka link inayoonyesha source na tarehe ya lini hiyo ripoti imeandikwa, acha kuweka vikaratasi vya ajabu.

Soma hiyo link niliyokupa uone details za kila ndege tulizonunua, mwaka tulionunua, kama tulinunua mpya au used, ngapi zilipata ajali na ni ngapi hadi sasa zipo "in service". Wewe unaleta makaratasi ya mwaka 1970, kubali hamna jeshi la kujilibganisha na TZ
 
Tutaelewana tu.
I told you Kenya is seven times stronger than Tanzania on air [emoji23][emoji23][emoji23]

Tunaomba link ulikochukua hii screenshot. Hahahaha.

Unajaribu kuficha ili tusijue ukweli sio?. Hii taarifa ni " very old", F-5 fighter jets zimebaki 5 pekee. Pia tunataka kujua hizi ndege ni toleo la mwaka gani, karibu zote ni very old, na nyingi ziko grounded.

Umeona hiyo link niliyokupa kuhusu Tanzania Air force, imezunfumza kila kitu, lete link sio screen shot, Hahahaha, hahahaha.
kdfjet.jpeg
mi28110.jpeg
A-Makeshift-Al-Shabaab-Camp-Destroyed-by-KDF-Fighter-Jets-in-Gedo-Region-Somalia.jpeg
 
Weka link inayoonyesha source na tarehe ya lini hiyo ripoti imeandikwa, acha kuweka vikaratasi vya ajabu.

Soma hiyo link niliyokupa uone details za kila ndege tulizonunua, mwaka tulionunua, kama tulinunua mpya au used, ngapi zilipata ajali na ni ngapi hadi sasa zipo "in service". Wewe unaleta makaratasi ya mwaka 1970, kubali hamna jeshi la kujilibganisha na TZ
ha ha ha... kwa sasa najua KDF wako na light attack MD500 variants kama 530F etc, over 50 in service.. mostly in the 50th Air Calvary (unajua hicho ni nini?? 😀)..

most of KDF equipment listed is in working condition.. Tanzania hata fly by sijawahi ona moja... that is one way of knowing your shit is not working or in - storage for lack of funds hence poor training opportunities..
 
OK, hii maana yake huna link yoyote zaidi ya kichwa chako. Kuanzia Leo usijaribu kulinganisha KDF yenye ndege 5, tena za kizamani sana, na African Aerospace - The rise and rise of Tanzania's Air Force
 
Ingekua si Kenya Navy wale Pirates wa Somalia wangekua wanatawala hadi Mozambique sahii
Na kule garissa wanakoingia hadi ndani ya ardhi ya mnawashindwia nini,hlf upande wa baharini muweze kuwadhibiti hadi mozambique,au chang'aa ya kibera ndio inavyokutuma ujimwabify kibwege namna hii
 
Remember Kenya is the only country that defeated Al Shaabab. This same Al Shaabab defeated USA in 2001 in what is famously known as BLACK DAWN HAWK.
Nyie watu mnapenda sana sifa, yaani unajisia hata Ujinga, crap Kunya boy.
So you defeated Alshabab! Congratulations!
 
For your information ukanda huu hakuna nchi nyingine yenye coastal defense radar na missiles isipokuwa Kenya .just do a simple Google search of (Ottomat MkI )
Ninyi mlinunua meli za kizamani sana toka Spain, hazina digital radar wala hazina uwezo wa kugundua ndege zinazokuja umbali wa zaidi ya 20Km away. Usilinganishe meli zenu za kizamani na hizi meli zetu mpya na kubwa. Kenya Navy Air force mko very weak, with very old Equipments, huo ndio ukweli japo mnajaribu kuutakataa
 
Back
Top Bottom