Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

For your information ukanda huu hakuna nchi nyingine yenye coastal defense radar na missiles isipokuwa Kenya .just do a simple Google search of (Ottomat MkI )
Hivyo vyuma chakavu ndio unatamba navyo!hizi warship zetu2 mchina mwenyewe ndio anazitumia aina hii hii mpaka sasan,6sema sie hatunaga zile show off za kijeshi km huko kunyaland,iwapo mngekua na meli kama hii 1 tu duniani yote ingejua
 
50% ya pesa inapotea kwenye rushwa, pesa inayobaki inatumika kugharimia vita Somalia, sisi bajeti yetu yote inatumika kununua vifaa vya kijeshi na mafunzo, hatuna vita, ulitegemea tuweke bajeti kubwa kuzidi ninyi wenye vita?.

Mbona Kenya bajeti yenu ya maendeleo ni kubwa lakini tunawazidi zaidi ya Mara 4 katika miradi ya maendeleo inayotumia pesa ya ndani?, hiyo bajeti yenu kubwa inaenda wapi?
 
I can see you have changed tune after I have disciplined you.
 
Hahahaha, mbona mliponunua MV Jasiri, japo ni chakavu lakini vyombo vyenu vyote vya habari vilipiga kelele na dunia nzima ilijua na kuona siku ilipofika Mombasa. Iweje hamtaki kutuonyesha hizo ndege wakati hata helicopter moja mkinunua mnatuonyesha?. Hamuwezi kununua hata "wing" moja ya F-16, nchi fukara sana ninyi. Mlitaka kununua "used F-15 toka Jordan, pia mlishindwa kutokana na umasikini.
 
I can see you have changed tune after I have disciplined you.
Ninajua kwamba wakenya wote wanafahamu kwamba Kenya Air force na Kenya Navy wanatumia vifaa chakavu sana, can't match with TPDF.
 
Hahaa ati digital radar we unajua unachosema ?
 
Ninajua kwamba wakenya wote wanafahamu kwamba Kenya Air force na Kenya Navy wanatumia vifaa chakavu sana, can't match with TPDF.
Your navy is currently using vessels that have been retired from the Chinese navy.same case to your aircrafts and we are know how inferior Chinese weapons are.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…