Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

For your information ukanda huu hakuna nchi nyingine yenye coastal defense radar na missiles isipokuwa Kenya .just do a simple Google search of (Ottomat MkI )
Hivyo vyuma chakavu ndio unatamba navyo!hizi warship zetu2 mchina mwenyewe ndio anazitumia aina hii hii mpaka sasan,6sema sie hatunaga zile show off za kijeshi km huko kunyaland,iwapo mngekua na meli kama hii 1 tu duniani yote ingejua
 
Our military spending was more than Tz and Uganda combined.Baba yao as usual
50% ya pesa inapotea kwenye rushwa, pesa inayobaki inatumika kugharimia vita Somalia, sisi bajeti yetu yote inatumika kununua vifaa vya kijeshi na mafunzo, hatuna vita, ulitegemea tuweke bajeti kubwa kuzidi ninyi wenye vita?.

Mbona Kenya bajeti yenu ya maendeleo ni kubwa lakini tunawazidi zaidi ya Mara 4 katika miradi ya maendeleo inayotumia pesa ya ndani?, hiyo bajeti yenu kubwa inaenda wapi?
 
I can see you have changed tune after I have disciplined you.
50% ya pesa inapotea kwenye rushwa, pesa inayobaki inatumika kugharimia vita Somalia, sisi bajeti yetu yote inatumika kununua vifaa vya kijeshi na mafunzo, hatuna vita, ulitegemea tuweke bajeti kubwa kuzidi ninyi wenye vita?.

Mbona Kenya bajeti yenu ya maendeleo ni kubwa lakini tunawazidi zaidi ya Mara 4 katika miradi ya maendeleo inayotumia pesa ya ndani?, hiyo bajeti yenu kubwa inaenda wapi?
 
Tembeza basi
Hahahaha, mbona mliponunua MV Jasiri, japo ni chakavu lakini vyombo vyenu vyote vya habari vilipiga kelele na dunia nzima ilijua na kuona siku ilipofika Mombasa. Iweje hamtaki kutuonyesha hizo ndege wakati hata helicopter moja mkinunua mnatuonyesha?. Hamuwezi kununua hata "wing" moja ya F-16, nchi fukara sana ninyi. Mlitaka kununua "used F-15 toka Jordan, pia mlishindwa kutokana na umasikini.
 
Hivi wakenya mnajielewa kweli. Hebu tuanze kwa hili
BM-30 Smerch

Mnaijua hiyo
1571990070229.png

1571989915074.png
 
Ninyi mlinunua meli za kizamani sana toka Spain, hazina digital radar wala hazina uwezo wa kugundua ndege zinazokuja umbali wa zaidi ya 20Km away. Usilinganishe meli zenu za kizamani na hizi meli zetu mpya na kubwa. Kenya Navy Air force mko very weak, with very old Equipments, huo ndio ukweli japo mnajaribu kuutakataa
Hahaa ati digital radar we unajua unachosema ?
 
Ninajua kwamba wakenya wote wanafahamu kwamba Kenya Air force na Kenya Navy wanatumia vifaa chakavu sana, can't match with TPDF.
Your navy is currently using vessels that have been retired from the Chinese navy.same case to your aircrafts and we are know how inferior Chinese weapons are.
 
Back
Top Bottom