Zama za kubishana kuhusu nani mbabe zilikwishapita. Mnahitaji kuja Tanzania kujifunza uokoaji na pia kujifunza jinsi ya kupambana na Alshabaab. Askari wenu hata ukiwaona wakiwa kwenye doria na zana walizonazo hadi unashangaa, hawa watu wanadhani wanafanya doria ya kukamata vibaka au the warlords? njoo uone doria za JWTZ tunatumia armored fighting vehicles (AFV) . Mnakwenda kupambana na ALshabaabu na AK47 na pickup na trucks, halafu you don't move in formation, you move utadhani msafara wa harusi.
Second kwenye ile manslaughter mliosababisha wa yule mama na mwanae. Ni aibu sana kuona mnakosa preparedness ndogo kiasi kile yaani hadi ile gari inazama several minutes hakukuwa hata na abiria mmoja aliejirusha kwenda kujaribu kuifikia mnapeleka kivuko sijui huyo baharia hajui uzito wa kile kivuko na ukubwa wake unaisukuma ile gari wakati mnazidi kuikaribia. Istoshe kapeleka kile kivuko hadi anataka kuipushi ile gari nashindwa kujua what was the intent maana kaifika lakini there was no plan. Ingekuwa huku kwetu ungeshangaa watu ambavyo wangerukia majini.
Third ile issue ya west gate na ile nyingine yaani huko ndani terrorist wakifyatua unaona huku nje askari wanavyo kimbia hovyo hovyo sio SWAT, sio sijui anti terror squads sio normal military personnel wote unaona wanatoka mbio in front of the camera. Very shame.
Brother ombeni game tunaleta mgambo tu no need kusumbua the highly respected JWTZ army from the country of the braves.