Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Ukitaka tufanye detailed comparison ya Kenya Airforce na Airforce yenu pia tunaweza fanya. We will still beat you hands down.
Hahahaha, you beat Tanzania?. Hahahaha, Hahahaha, kwa kutumia F-5, 2nd Generation, very old model. Acha kuchekesha watu, wakenya wenzako wanalalamika kwamba hizo ndege zinapa kuwekwa "Museums", wewe bado unataka kulinganisha na Tanzania.
 
Tanzania Vs Kenya military power

Kenya. Tanzania
Tanks. 76. 30
Armoured
Vehicles. 591. 150
Aircraft. 209. 30
Ngoja kidogo kaka yangu. How many fighter jets does Kenya own?, what type?.
From my knowledge Kenya has only 5 very old fighter jets. F-5. Hahahaha.
 
Tanzania 30 aircrafts
Kenya 209 aircrafts.

That's shows that Kenya is seven times stronger than you [emoji23][emoji23]
Zinazopigana ni fighter jets, please, let me know, how many fighter jets do you have?,
Waleteeeeeeeereed
 
Tanzania 30 aircrafts
Kenya 209 aircrafts.

That's shows that Kenya is seven times stronger than you [emoji23][emoji23]
Soma wakenya wanavyotoa matusi kutokana na Kuwepo na jeshi dhahifu la Anga. Soma reactions za wakenya katika hii video.
 
Uliwaona wapi kdf wakifanya doria
 
Hakuna Bibi Kama Kenya. Mmalizane na Somalia kwanza..
Asante, hiyo poa tutafika huko ila cha msingi ni kujua kwa hawa waliotuzunguka hakuna wa kutututisha, kawaida huwa unaanza kujihami dhidi ya walio karibu nawe, baada ya hapo ndio unawaza kuhusu wale wa mbali.
 
Usilolijua ni usiku wa giza, Iddi Amini alifanya makosa hayohayo ya dharau.
Dhahama iliyomkuta Ammini uliza watalaamu wa kijeshi wakwambie!!
Tanzania kiulinzi iko vizuri Dogo usijifarague!!
TZ ni habari nyingine kijeshi!!
 
Usilolijua ni usiku wa giza, Iddi Amini alifanya makosa hayohayo ya dharau.
Dhahama iliyomkuta Ammini uliza watalaamu wa kijeshi wakwambie!!
Tanzania kiulinzi iko vizuri Dogo usijifarague!!
TZ ni habari nyingine kijeshi!!

Hadithi za mababu usituletee kwenye ulimwengu wa leo, Idd Amin alikua wa kupigika tu yule maana hata nchi yake walikua wamemkataa, Waganda walikua wamechoka naye na ndio maana wakaungana wote akina Museveni, Tito Okello na kwa pamoja na maelfu ya wapiganaji wao na JWTZ na polisi wa Tz na mgambo wa Tz na wanavijiji wa Tz na wapiganaji wa kutokea Msumbiji ikabidi apigwe tu.
Pamoja na yote hayo, mliingia hasara ambayo hadi leo hamjawahi kutoka, sasa hebu jaribuni kiherehere leo cha kuanzisha chokochoko dhidi ya nchi yoyote muone mziki wake, haswa kwa nchi ambayo watu wake ni wazalendo kwa nchi yao, mfano Kenya, mkusanyike kuja kuivamia Kenya, hapo hata muungane na Msumbiji yote na Uganda na Rwanda muje, pia hata tuwachomekee Wasomali.
Ukanda wote huu mtu ambaye tunaweza kutiana makucha na tukahisi maumivu labda Ethiopia tu, wengine wote bladi kenge wa kufagia.
Mashababi walisababisha hadi Marekani wakakimbia, wakazingua kotekote, lakini KDF iliingia pale na kufagia fagia, wakatokomea na kuingia uraiani kwenye maisha ya kushtukiza kwenye maduka.
 
Okay
Sema naskia zike ndege zenu zimechoka balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…