Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Remember Kenya is the only country that defeated Al Shaabab. This same Al Shaabab defeated USA in 2001 in what is famously known as BLACK DAWN HAWK.
Huu ndio ujinga wa Kunya Boys, wakati wote wanapenda kujiona wako zaidi ya Tanzania, kumbe ndani wanakiri kuwa JW ni jeshi Kongwe katika Afrika, Suppose you are stronger than Tanzania 100X, Just tell us the number of successful missions engaged, And the reason of failing a very small mission with Alshabab!!!
 
F-5 are 17 my friend, I told you Kenya is seven times stronger than Tanzania.
Hahahaha, ninachojua ni kwamba, Kenya mpo na F-5, hizi ni 2nd generation na zipo 5, zilitenfenezwa 1970s. Tafadhali kanusha na uletee "link" ili tusome.
 
Hahahaha, ninachojua ni kwamba, Kenya mpo na F-5, hizi ni 2nd generation na zipo 5, zilitenfenezwa 1970s. Tafadhali kanusha na uletee "link" ili tusome.
Do I have to say more?
Screenshot_20191024-144322.jpeg
 
KAF at 50, history speaks for itself,Tz wako sure hapa wanaweza ?

 
Tunaomba link ulikochukua hii screenshot. Hahahaha.

Unajaribu kuficha ili tusijue ukweli sio?. Hii taarifa ni " very old", F-5 fighter jets zimebaki 5 pekee. Pia tunataka kujua hizi ndege ni toleo la mwaka gani, karibu zote ni very old, na nyingi ziko grounded.

Umeona hiyo link niliyokupa kuhusu Tanzania Air force, imezunfumza kila kitu, lete link sio screen shot, Hahahaha, hahahaha.
 
Hilo sasa ni swali tofauti, kwanza nilitaka ukubali kwamba TPDF sio level yenu. Kwasababu umekubali, sasa ndio tutazungumza umuhimu wake.

Actually hata Mimi sipendezwi sana na uwekezaji huu mkubwa katika jeshi, ni bora tungeongeza ndege za ATCL kuliko hizi za Jeshi.
IMG_20191024_123021_867.jpg

IMG_20191024_131153_337.jpg

I know you don't know how an F15 looks like please have a close look at top right corner of the zoomed image then compare and contrast
 
1) J - 7,
2) 3rd generation jet fighter
3) Maximum speed 2200 Km/h
4) Radar capacity 200Km
5) It can fire lesser guided missiles
6)Model. 2012 (Brand New acquired)

Tunazo 14

Angalia hapo zinapita zikifanya mazoezi. Hahahaha, Hahahaha.


Anyway, J-7 is just another copy of the Mig 21..
and in the few occurrences that the F-5 faced the Mig-21..the mig 21 lost.



But mostly in TZ-KE engagement, it will depend on pilot experience,training and mastery of the tool itself..
and there who know who is the clear winner ...KENYA AIR FORCE
 
ha ha that Chinese Crap copy of a Mig-21 ???
Its un-proven in combat against any adversary ...
TZ Air Force pilots are poorly trained .... and with very low flight hours...
Hahahaha, Hahahaha, baada ya kushindwa lazima utafute sababu ya kujipa matumaini ili upate usingizi. Tusisikie tena mnalinganisha TPDF na ujinga wa KDF.
 
Hahahaha, Hahahaha, baada ya kushindwa lazima utafute sababu ya kujipa matumaini ili upate usingizi. Tusisikie tena mnalinganisha TPDF na ujinga wa KDF.
Tanzania Air force is crap compared to KAF...trust me..usijiaibishe kaka
you would rather start your usual Westgate mall stories and Alshabab propaganda..

But kwa hewa, we have numbers, experience and better mastery.
 
Back
Top Bottom