Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Moja ya uhai wa jukwaa la mtandao wa KIJAMII ni kile kiwango Cha members wengi wenye interaction
Jf inaelekea miaka zaidi ya 20 karibu sawa fb ya 2004
Pamoja na kuwa jukwaa Bora Tanzania lakini tunatamani Hawa vijana walioanzisha hili jukwaa wanafikia Eneo kubwa zaidi
Lakini Kwa kazi nzuri hii tunatamani wavune MATUNDA ya kazi Yao pengine kuwa na Mafanikio ya kiuchumi kama kina Mark wa fb
Sijui sana malengo ya Jf lakini naamini Kila jukwaa linatamani liwe la kimataifa
Karibuni Kwa maoni