Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
1.JF ikitaka kukua waache kufanya censorship maoni ya watu yawe huru na mada ziwe huru bila kuhaririwa na moderators.
2.WAONDOE MFUMO WA KUJIUNGA KWA BROWSER IBAKI APP PEKEE.
3.WAEKE ADS KWENYE THREAT MBALIMBALI AMBAPO MALIPO YATAKUWEPO KWA WALETA THREAD AMBAO NYUZI ZAO ZINA LIKES NA COMMENTS NYINGI NA ADS NAZO ZIWE NYINGI.HII ITAONGEZA WATU WENGI KUCHAKIA KUTOKA KUFANYA KAMA REFRESHMENT KUELEKEA KULENGA KUPATA FAIDA.MFANO RICK BOY SAIVI ANGEKUWA ANAKULA MEMA YA NCHI KWA FORMULA HII.NA INGEONGEZA UFANISI NA KUCHANGAMSHA MAJUKWAA.
📌Warudishe jukwaa la wakubwa.Huko ndiko waeke membership ya GOLD ya kulipia na kusiwe na uwezo wa kutoa kilichomo huko kuja kwa wasiohuSika, watajipigia hela mpaka wachoke.