Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Habari,
Nimemtazama JJ Ephraim ambaye ni mtoa Maudhui ya video kwa namna ya kuburudisha jamii pamoja na kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha.
Nampa Kongole kwenye ubunifu wa kuandaa mawazo, jumbe na mafunzo yanayolenga jamiii moja kwa moja kwenye kuonya,kufundisha na kuburudisha.
Umekuwa Video Creator mbunifu zaidi tofauti na wengine kwenye mambo yafuatayo:-
1. Matumizi sahihi ya lugha ya Kiswahili
2. Jumbe na mawazo ya kukumbusha jamii historia yake , wapi Ilipo na wapi siku za usoni itakuwa.
3. Kutembelea sehemu zenye Asili(Makumbusho,Hifadhi,n.k) na kuzichambua kwa kina, hakika hapo umetumia muda wa kusoma na kuelewa ili kuandaa Maudhui hayo.
4. Umekuwa Mbunifu wa kutumia maarifa uliyopewa darasani na kuyatumia kwenye uhalisia.
Kwa ubunifu ambao nimeuona hadi sasa, ukiendelea hivyo bila kuyumbishwa na watengeneza Maudhui wengine nakuona mbali sana hapo baadae. Keep it up utakuwa ambassador mzuri wa kuelimisha jamii juu ya unavyovizungumza kwa sasa.
Nakupa Kongole Kwa Kutengeneza Maudhui Bora Kwa Njia Ya Burudisha Jamii Sambamba Na Kuelimisha.