Wamekosa shavuKUNA TOFAUTI KATI YA KUTOKUSHIRIKI NA KUTOKUPEWA NAFASI YA KULA KEKI YA NCHI
Sina hakika kwa kampeni zote zinazoendelea nchiniWamekosa shavu
Kampeni hazijaisha mkuu, na kwa ubabe wa chama kile hao jamaa wakihitajika hawapindui, muda ni hakimu mzuri sanaPongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa.
Hii ni nzuri sana ili kutowagawa mashabiki wenu.
Keep it up
Watakufa njaa. Mwana Muziki ni sawa na mchezaji wa mpira, Leo yanga kesho simba. Yeye kikubwa maslahi upenzi baadaye. Hivyo hao unaowasifia ni wajingaPongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa.
Hii ni nzuri sana ili kutowagawa mashabiki wenu.
Keep it up
Nyie badae ndio mnaanza utasikia msanii fulani kumbe hana hata gari. Kipi bora akuangalie wewe shabiki ambaye huzijui hata digital platform zake anakouza nyimbo. Shout out kwa wasanii ambao wanafanya kazi waingize kipatoPongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa.
Hii ni nzuri sana ili kutowagawa mashabiki wenu.
Keep it up
Wanaogopa kupigwa mawe huku chuga.Watakufa njaa. Mwana Muziki ni sawa na mchezaji wa mpira, Leo yanga kesho simba. Yeye kikubwa maslahi upenzi baadaye. Hivyo hao unaowasifia ni wajinga
NDUGU BONTA hahaha hivi alifanikiwa?G.Nako magufuli gang,,,,,Bonta maarifa alitia nia kahama
Pongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa.
Hii ni nzuri sana ili kutowagawa mashabiki wenu.
Keep it up