Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hata lady jaydee ni shujaa wa Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kununuliwa na kutishwa!Hivi msanii hatakiwi kuwa na chama cha siasa au kununuliwa ndo shida
Duuh shujaa tenaHata lady jaydee ni shujaa wa Taifa
Unaruhusiwa.Hivi msanii hatakiwi kuwa na chama cha siasa au kununuliwa ndo shida
Ata dada Jide....c muon kwenye siasa.
Asipokuelewa amuone daktariMleta mada, elewa ya kwamba muziki ni ajira na mwanamuziki hachagui wapi pa kuimba alimradi tu ufike dau analolitaka. Wasanii hawana uanachama wa hivyo vyama badala yake wao wanalipwa kuburudisha. JARIBUNI KUWA WAELEWA WATU WANATAFUTA MLO EBHO..!!
Kuna masupastaa wakubwa tu wanatumbuiza mpaka kwenye birthday party, wedding party nk wanachoangalia ni je umefika kwenye dau,, kwenye harusi ya jamaa yangu mmoja ana vichenji vya kutingisha jiji ilikuwa 2016 alialikwa Christian Bella kuperform na akaja kupiga show thou kwa dakika ambazo hazikuzidi 20
Pia sio wote wamepata shavu la kusaini mkataba wa kutumbuiza kwenye kampeni, kuna wengi hawajapata dili hilo na wanatamani kweli kweli
Mwisho nakukumbusha tu, kampeni bado hazijaisha bado kuna wasanii wataperform kwenye maeneo ambayo yana influence kwao
na pía Diamond na Kiba walikula shavu kuperform 2015 karibia sehemu nyingi za kampeni ya CCM na bado wasanii hao kuanzia nyakati hizo mpaka hivi sasa wamezidi kujiongezea idadi kubwa ya mashabiki
Itajulikana kama kampeni zitaenda arushahawana soko wangekua nalo ungewaona
Halafu huwezi kukataza watu wasijitafutie ridhiki kisa una ushabiki na chama fulani... acha watu wajitafutie hata ibidi wawe chawa tu maana mwisho wa siku kila mtu ana maisha yake na lazima yaende kwa udi na uvumba