Bilion 8.................?????????
Muda si mrefu tutasikia na kampuni ya endless fame ........naogopa jameniiiii
We mgomvii...ngoja Team ije...
Kwa Kweli kila Mtu Ana muda wake wa kufunguliwa baraka zake. Jokate kajitahidi sana kujaribisha vitu mbalimbali, hadi akasemwa wee hana nyota, kumbe haikuwa right time kwake. Hongera sana jojo
Bilion 8.................?????????
Muda si mrefu tutasikia na kampuni ya endless fame ........naogopa jameniiiii
Acha izooo!au u r speaking of urself!unaonaje mambo ya rohoni kwa mtu au wewe ni 'malaika'?Kwa ninavyowafahamu wabongo sio wote waliojipambanua hapa kumpongeza kuwa wanafurahia mafanikio yake bali ni kwa kuwa tu hawana uwezo wa kuyazuia so inabidi wakubali matokeo...bado naziona chuki kali ndani ya vifua vyao......japokuwa usoni wanafurahia.....na ndio hao hao wanaongoja anguko lake kwa hamu kubwa sana ili waje kuleta unabii.....sijui waTanganyika tupoje....hao hao wanao kupongeza ukifanikiwa ndio hao hao wanaoshangilia ukianguka.....time will tell