Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni naomba nitoe hongera kwa mdada au mjasiriamali jokate kwa hatua yake ya kusaini kiasi cha shilingi bilioni 8.1 kutoka kampuni ya kichina itakayomsaidia kutangaza na kuuza bidhaa zake binafsi nampongeza sana kwa hatua hiyo maana jitihada zake za kujishughulisha tumeziona kwa muda mrefu.
Hongera sana, mamiss wengine mliopita hebu igeni mfano huu wa Jokate.
Hongera sana, mamiss wengine mliopita hebu igeni mfano huu wa Jokate.