Hongera Jokate

Hongera Jokate

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni naomba nitoe hongera kwa mdada au mjasiriamali jokate kwa hatua yake ya kusaini kiasi cha shilingi bilioni 8.1 kutoka kampuni ya kichina itakayomsaidia kutangaza na kuuza bidhaa zake binafsi nampongeza sana kwa hatua hiyo maana jitihada zake za kujishughulisha tumeziona kwa muda mrefu.

Hongera sana, mamiss wengine mliopita hebu igeni mfano huu wa Jokate.
 
Hongera sana Billionea Jokate,bilionea wa pili baada ya le mutuz.
 
Kwa Kweli kila Mtu Ana muda wake wa kufunguliwa baraka zake. Jokate kajitahidi sana kujaribisha vitu mbalimbali, hadi akasemwa wee hana nyota, kumbe haikuwa right time kwake. Hongera sana jojo
 
Bilion 8.................?????????
Muda si mrefu tutasikia na kampuni ya endless fame ........naogopa jameniiiii
 
Hivi huo mkataba ni wa kuuza bidhaa gani?zile nywele zake za kidoti bado zipo?
All in all hongera mdada JoJo.

bidhaa zote za kidoti hiyo kampuni watamdhamino kuuza binafsi nimefurahi jokate anajituma sana
 
Kwa Kweli kila Mtu Ana muda wake wa kufunguliwa baraka zake. Jokate kajitahidi sana kujaribisha vitu mbalimbali, hadi akasemwa wee hana nyota, kumbe haikuwa right time kwake. Hongera sana jojo

umeona eeh
jitihada haishindi kudra kwa kweli kila kitu kina muda wake na MUNGU wetu ni mwema
 
Bilion 8.................?????????
Muda si mrefu tutasikia na kampuni ya endless fame ........naogopa jameniiiii

Naomba Mungu niendelee kuishi ili nione mwisho wa hili

Nywele ..................
Vipodozi............
Nguo..................

I dont know what made those chinese settle for such amount of Cash.
 
Kwa ninavyowafahamu wabongo sio wote waliojipambanua hapa kumpongeza kuwa wanafurahia mafanikio yake bali ni kwa kuwa tu hawana uwezo wa kuyazuia so inabidi wakubali matokeo...bado naziona chuki kali ndani ya vifua vyao......japokuwa usoni wanafurahia.....na ndio hao hao wanaongoja anguko lake kwa hamu kubwa sana ili waje kuleta unabii.....sijui waTanganyika tupoje....hao hao wanao kupongeza ukifanikiwa ndio hao hao wanaoshangilia ukianguka.....time will tell
 
Hongera zake mdada ni bora kustruggle kuliko kusubili kuhongwa kama mke mkubwa
 
Kwa ninavyowafahamu wabongo sio wote waliojipambanua hapa kumpongeza kuwa wanafurahia mafanikio yake bali ni kwa kuwa tu hawana uwezo wa kuyazuia so inabidi wakubali matokeo...bado naziona chuki kali ndani ya vifua vyao......japokuwa usoni wanafurahia.....na ndio hao hao wanaongoja anguko lake kwa hamu kubwa sana ili waje kuleta unabii.....sijui waTanganyika tupoje....hao hao wanao kupongeza ukifanikiwa ndio hao hao wanaoshangilia ukianguka.....time will tell
Acha izooo!au u r speaking of urself!unaonaje mambo ya rohoni kwa mtu au wewe ni 'malaika'?
 
Back
Top Bottom