Kwa maelezo yako haya ni kama Jux ndio ameshirikishwa sababu kila kitu kimeanzia kwa Diamond!!!
Jux na diamond wameshirikiana... mmoja akapewa mandate ya wimbo uwekwe kwenye platforms zake. Kwa makubaliano wanayoyajua wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maelezo yako haya ni kama Jux ndio ameshirikishwa sababu kila kitu kimeanzia kwa Diamond!!!
Fa mchezo na enjoy, chibu kambeba.View attachment 2814561
Hongera sana msanii Juma Mkambala aka Jux kwa kufikisha subscribers million 1.
Kutoka kwenye subscribers laki 4 hadi 1 million ndani ya miezi mitatu ni jambo la kupongezwa. Ni nzuri sana kibiashara.
Sisi wapenda burudani na maendeleo ya vijana tunakupongeza sana na tunafurahi kuona kijana mwenzetu anapiga hatua.
wameshirikiana! We jamaa wewe, haya bwana.Jux na diamond wameshirikiana... mmoja akapewa mandate ya wimbo uwekwe kwenye platforms zake. Kwa makubaliano wanayoyajua wao.
wameshirikiana! We jamaa wewe, haya bwana.
Hongera kwa kazi nzuri kuipigania WCB yenu.Wewe ndio unasema mimi sijasema hivyo. Kama ndio hivyo pia ni jambo zuri vijana kubebana.
Ungefika level kama ilivyofikia?Hata bila Diamond wimbo ungekuwa mzuri tu.
Me sio mtabiri chief.Ungefika level kama ilivyofikia?
Hakuna wimbo wa jux ambao umefika views 36M kwenye Maisha yake yote ya mziki, ukiacha hivyo huu wimbo umemfanya kwa Mara ya kwanza aperform jukwaa kubwa kama Trace Awards ukubwa wa diamond Ndio umemfanya ifike level hiyoMe sio mtabiri chief.
Naskia wewe na wenzio wawili mmetorokea marekaniView attachment 2814561