Hongera Jux kwa mafanikio haya

Kwa maelezo yako haya ni kama Jux ndio ameshirikishwa sababu kila kitu kimeanzia kwa Diamond!!!

Jux na diamond wameshirikiana... mmoja akapewa mandate ya wimbo uwekwe kwenye platforms zake. Kwa makubaliano wanayoyajua wao.
 
Fa mchezo na enjoy, chibu kambeba.
 
wameshirikiana! We jamaa wewe, haya bwana.

Yaelekea hujui game ya mziki inavyoenda. Na zama hizi ushirikiano unakwendaje ?

Mfano Innoss'B Ft Diamond Platnumz - Yope Remix

Wimbo huu umewekwa kwenye kwenye account za diamond za youtube na digital platform zingine.

Ila Title ya wimbo wanasema

Innoss'B Ft Diamond Platnumz - Yope Remix
 

Attachments

  • Screenshot_20231116-134529_Firefox.jpg
    135.9 KB · Views: 4
Me sio mtabiri chief.
Hakuna wimbo wa jux ambao umefika views 36M kwenye Maisha yake yote ya mziki, ukiacha hivyo huu wimbo umemfanya kwa Mara ya kwanza aperform jukwaa kubwa kama Trace Awards ukubwa wa diamond Ndio umemfanya ifike level hiyo
 
Naskia wewe na wenzio wawili mmetorokea marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…