Hongera kaka yangu Mbasha Umekuza

Katika page yake ya instagram Mtumishi Emanuel Mbasha ameweka picha ya Mtoto wake wa kwanza Elizabeth
View attachment 992789

Hongera sana Mtumishi umekuza!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Navaa viatu vya moyo wa mbasha anaumia mnooo kwamba mke wake ameolewa na sasa anachapiwa Hii inahitaji moyo mkuu mno kuvumilia haya maumivu na watoto watakuwa na stigma au phobia yani iliniuma mnoooooo Hawa watu kuachana ila mpaka Leo namsapoti mbasha sio mkewe
 
Unamsapoti katika sekta ipi?
 
Hivi watu wanaotupia picha za watoto wao kwenye mitandao ya kijamii, kuna ridhaa ya hao watoto?!!!!!
😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
 
 
Sawa wema sepetu ''naona huko mahabusu now days kume advance mpaka mnapewa simu mtumie! ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…