Hongera kaka yangu Mbasha Umekuza

Hongera kaka yangu Mbasha Umekuza

Katika page yake ya instagram Mtumishi Emanuel Mbasha ameweka picha ya Mtoto wake wa kwanza Elizabeth
View attachment 992789

Hongera sana Mtumishi umekuza!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Navaa viatu vya moyo wa mbasha anaumia mnooo kwamba mke wake ameolewa na sasa anachapiwa Hii inahitaji moyo mkuu mno kuvumilia haya maumivu na watoto watakuwa na stigma au phobia yani iliniuma mnoooooo Hawa watu kuachana ila mpaka Leo namsapoti mbasha sio mkewe
 
Unamsapoti katika sekta ipi?
 
Hivi watu wanaotupia picha za watoto wao kwenye mitandao ya kijamii, kuna ridhaa ya hao watoto?!!!!!
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Hahaa mafisi bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Frola kwani kinyongo hakijaisha tu?

wewe mwenyewe Fisi mbona umekwenda kuliwa tena mashine kwingine na mijamaa mara gwajima, mara umeolewa na nani sijui!

tulia angalia kitu niko cha mbasha hiki hapa, mweeeee! si ulisusa?

atakuwa mwimbaji huyo
 
Sawa wema sepetu ''naona huko mahabusu now days kume advance mpaka mnapewa simu mtumie! ?
 
Back
Top Bottom