mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Team zetu walidharau tatizo ila wangecheza wangejitabgaza sana kimataifaAlafu tumechukulia haya mashindano ya sportpesa poa, ila kwa mfano simba ndo tungekomaa au haya yanga ikashinda na kucheza na everton, imgekuwa ni silaha moja kubwa sana ya kumtania mtani wako kuwa sisi tulicheza na everton, nyie je! Ila upuuzi wa kuchukulia mambo poa yametuponza!
Ova