Hongera Kenya , Hongereni wakenya , Nakulilia Tanzania

Team zetu walidharau tatizo ila wangecheza wangejitabgaza sana kimataifa

Ova
 
Kocha wa Gormahia ni yule liyetimuliwa na simba kwa kuonekana hajui
Maskini kumbe Simba ndo hawajui

Kutimuliwa kwa kocha ni kitu cha kawaida sana, labda uwe hujui soka ndio utaona muujiza..
 
Mkuu naona unawaongelea vijana wa msimbazi

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana !

Huku simba kuna mtu aliitwa Bamchawi , Full vitisho vya uchawi !


Sasa jiulize kuna mpira kweli hapa? Yaani hizi timu kuendelea pamoja na timu ya Taifa inabidi waachane na uchawi kabisa la sivyo watazidi kuchezewa akili na Mze Akilimali na wababaishaji wengine.
 
Mkuu hamia Kenya
 
Niliyasema haya jana,wengine hawakunielewa but wenye uelewa walielewa,,,hongera gor mahia hongera wakenya sisi tuko bize na kupangiana viongozi pale tff

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Usimung'unye maneno , Tanzania haina timu .
 


Bora Gor Mahia ndiyo iliwakilisha East Afrika si Simba wala Yanga.....maana wangekuwa wao hapo wasingeambulia hata goli....ingekuwa kichapo 10 kwenda mbele.
 
Simba aibu kwenu.Kocha mliyemfukuza leo anaishangaza dunia kwa soka safi tena la kitabuni dhidi ya everton.Hili liwe fundisho kwa timu za bongo.
 
Kocha wa Gormahia ni yule liyetimuliwa na simba kwa kuonekana hajui
Maskini kumbe Simba ndo hawajui
Wangekuwa hwajui wangemleta? Sema walindwa gharama zake,uwe unauliza kwanza.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Team zetu walidharau tatizo ila wangecheza wangejitabgaza sana kimataifa

Ova
Nadhani mashindano hayakuja wakati muafaka ligi imeisha wachezaji wengine walikuwa kwenye kambi ya tim ya taifa so kukaza kulikuwepo ila uwezo uliishia pale

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…