TZ mpira ulikufa toka miaka ya 1970 kilichobaki ni ubishi na mazoea tu. We umeona wapi mtu kama Mze Akilimali asiye na mchango wowote ndani ya timu eti anaogopewa na kama abugiii ugoro basi timu haiendi kucheza.
Hii inaitwa fursa , kama fainali ingekuwa Everton na timu ya Tanzania unadhani haya yangetokea ?Kwani hawa Daily Mail bangi wananunua wapi?
Hilo ndo tatizo mojawapo, waTz kuanzia viongozi mpaka washabiki kama wewe kuweka siasa kila mahali!siku CCM ikiondoka ndo utajua hazina iliyopo Tanzania
Wewe Nawe njiti wa mawazo, hebu mwambie huyo Gor mahia acheze na simba au yanga kama ataponaNaangalia game ya Timu ya Gor-Mahia ya Kenya dhidi ya Timu kali ya Everton kutoka Uingereza kupitia EATV hapa kwenye uwanja wa maonesho wa sabasaba , Hakika mna kila sababu ya kutembea kifua mbele .
Timu yenu ni nzuri na kiukweli inastahili kuiwakilisha East Africa kwenye game hii , hongereni sana wakenya .
Huku kwetu Tanzania mpira unachezwa zaidi na viongozi , ndani ya uwanja , nje ya uwanja na mahakamani , kwetu kununua mechi ni jambo la kawaida sana ! Waamuzi kununuliwa siyo siri tena .
Soka la Tanzania limedumaa mithili ya MTOTO ALIYEBEMENDWA ! hivi ninavyoandika haya viongozi wa TFF wako mahakamani kwa sababu zinazofahamika kama FITNA ZA UCHAGUZI ! Yaani viongozi wa soka wanapangwa kutoka nje ya soka lenyewe , aibu sana !
Wakenya endelea kuongoza , sisi tutaendelea kuburuza mkia .
Naangalia game ya Timu ya Gor-Mahia ya Kenya dhidi ya Timu kali ya Everton kutoka Uingereza kupitia EATV hapa kwenye uwanja wa maonesho wa sabasaba , Hakika mna kila sababu ya kutembea kifua mbele .
Timu yenu ni nzuri na kiukweli inastahili kuiwakilisha East Africa kwenye game hii , hongereni sana wakenya .
Huku kwetu Tanzania mpira unachezwa zaidi na viongozi , ndani ya uwanja , nje ya uwanja na mahakamani , kwetu kununua mechi ni jambo la kawaida sana ! Waamuzi kununuliwa siyo siri tena .
Soka la Tanzania limedumaa mithili ya MTOTO ALIYEBEMENDWA ! hivi ninavyoandika haya viongozi wa TFF wako mahakamani kwa sababu zinazofahamika kama FITNA ZA UCHAGUZI ! Yaani viongozi wa soka wanapangwa kutoka nje ya soka lenyewe , aibu sana !
Wakenya endelea kuongoza , sisi tutaendelea kuburuza mkia .
Sasa walishindwaje kucheza na everton ?Wewe Nawe njiti wa mawazo, hebu mwambie huyo Gor mahia acheze na simba au yanga kama atapona
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Umejifariji kizamani sana !Michuano ya club bingwa Africa, Gormahia wanafikaga wapi? Vipi kuhusu timu ya taifa Kenya? Sisi wote ni wale wale tu mkuu
Unapokuwa mwalimu darasani ukafelisha watoto hata kama wao ndo hawana akili lawama huenda kwa mwalimu. Sometimes mwl hata ufanyeje, kama shingo za wanafunzi zimebeba maboga yatabaki hvohvo.Kocha wa Gormahia ni yule liyetimuliwa na simba kwa kuonekana hajui
Maskini kumbe Simba ndo hawajui
Labda super market ya dangaa junia mojaNina super market Nairobi mjomba , usione tuko humu hatuna njaa hata chembe , tumejitolea tu kusaidia hawa masikini wanaoendelea kukamuliwa hadi damu .
Kwa hapa Tanzania nina kiwanda , ambacho lengo kuu la kuanzishwa kwake lilikuwa kutoa ajira kwa watanzania wenzangu wanaonyanyaswa na vijiajira uchwara ndani ya nchi yao.Labda super market ya dangaa junia moja
Hahahaha.... mimi ukiniajiri nitakuibia ufirisike bure!Kwa hapa Tanzania nina kiwanda , ambacho lengo kuu la kuanzishwa kwake lilikuwa kutoa ajira kwa watanzania wenzangu wanaonyanyaswa na vijiajira uchwara ndani ya nchi yao.
Nachukua nafasi hii kukushauri hata wewe upeleke maomba kwa HR wetu , tutakusaidia .
Ukiisoma nafsi ya mleta Uzi ....hakumaanisha kuwa Gor ndio timu bora Afrika Mashariki...Michuano ya club bingwa Africa, Gormahia wanafikaga wapi? Vipi kuhusu timu ya taifa Kenya? Sisi wote ni wale wale tu mkuu